Top 10 similar words or synonyms for maximinus

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for maximinus

Article Example
Maximinus Thrax Gaius Iulius Verus Maximinus au Maximinus Thrax (takriban 173 – Aprili 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Machi, 235 hadi kifo chake. Alimfuata Alexander Severus. Kwa vile hakukaa katika mji wa Roma, kulikuwa na makaizari wengi walioasi dhidi yake, kama babu, baba na mwana wa akina Gordian, au Balbinus na Pupienus.
Balbinus Decimus Caelius Calvinus Balbinus (takriban 165 – 29 Julai, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na Pupienus, kuanzia 22 Aprili, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Gordian II wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.
Gordian I Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus au Gordian I (takriban 159 – 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na mwana wake Gordian II, kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Maximinus Thrax ambaye waliasi dhidi yake.
Pupienus Marcus Clodius Pupienus Maximus (takriban 178 – 29 Julai, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, pamoja na Balbinus, kuanzia 22 Aprili, 238 hadi kifo chake. Walimfuata Gordian II wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.
Gordian II Marcus Antonius Gordianus Sempronianus Romanus Africanus (takriban 192 – 12 Aprili, 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 22 Machi, 238 hadi kifo chake. Alijulikana kama Gordian II kwa vile alitawala pamoja na baba yake, Gordian I, wakiasi dhidi ya Maximinus Thrax.