Top 10 similar words or synonyms for mavanga

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for mavanga

Article Example
Mavanga Mavanga ni jina la kata ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,651 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 59416
Mavanga Katika kata ya Mavanga kuna mazao mbalimbali ya kawaida kama maharage, mahindi, viazi vitamu, ufuta, ndizi, mihogo, miwa, karanga, njugu mawe, kunde, na vinginevyo.
Mavanga Kata ya Mavanga ina shule za msingi nne na ya Shule ya Sekondari moja. Kata ya Mavanga ina vijiji viwili ambavyo ni Mavanga na Mbugani. Mavanga ni moja kati ya kata ambazo zimepata huduma ya umeme wa maji kutokana na mradi wa Umeme wa Maji (Small Scale Hydro electric Power Plant) kwa ufadhili kutoka Duren Ujerumani chini ya usimamizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe.