Top 10 similar words or synonyms for marende

musikari    0.854007

chamwenyewe    0.853027

otieno    0.852880

ngala    0.850283

gichugu    0.847830

shehu    0.845219

mudavadi    0.841545

musalia    0.838803

gichuru    0.838046

magara    0.837773

Top 30 analogous words or synonyms for marende

Article Example
Kenneth Marende Muda wake wa kwanza alichaguliwa kama mbunge kwa Emuhaya Constituency kwenye tiketi cha chama cha NARC katika uchaguzi wa mwaka 2002. [1] Alibaki kwenye kiti chake katika uchaguzi wa mwaka wa 2007, lakini uchaguzi wake kama Spika ilimaanisha ya kuwa kiti chake iliachwa wazi, uchaguzi mwingine baina yake ilistahili kufanywa. [2] Uchaguzi mwingine ukafanyika mwezi wa Juni 2008 na Wilbur Ottichilo aliibuka mshindi wa chama cha ODM. [3]
Kenneth Marende Kenneth Otiato Marende ni Spika wa Bunge la kumi nchini Kenya. Alichaguliwa kama Spika wa Bunge manamo tarehe 15 Januari 2008.
Kenneth Marende Katika Bunge la tisa aliuunga mkono marekebisho kwa mswaada kwa ubakaji kwa ndoa. Alisema kwa maarifa kwenye sakafu ya Bunge kuwa "WaKenya bado wanaweza kufanya mapenzi na wenzao hata wanapokuwa wamelala ila tu wawe wameoana." [4]
Kenneth Marende Mwezi wa Aprili 2009, wakati bunge ilipofunguliwa tena, alikuwa amelazimishwa kufanya tawala ya uzito juu ya nani atakayekuwa Kiongozi wa Serikali ya Biashara kutokana na mzozano baina ya Rais na Waziri Mkuu. Katika tawala ya kihistoria, yeye alijipatia mda maalum, kwa kuzingatia maagizo ya bunge kusimama kama Mwenyekiti wa Kamati la Biashara mpaka kutatuliwa. [5]
Kenneth Marende Katika duru ya kwanza ya kupiga kura, Marende, ambaye alikuwa mgombeaji wa chama cha "Orange Democratic Movement" (ODM) kwa nafasi ya Spika, alipata kura mia moja na nne, wakati mgombeaji wa serikali, Francis ole Kaparo, alipata kura tisini na tisa; katika duru la pili Marende alipata kura mia moja na nne na Kaparo alipata mia moja na mbili. Ingawa wengi wao mara ya kwanza walitaka duru mbili, hatimaye kidogo tu ndio ilikuwa inahitajika, na Marende alichaguliwa katika raundi ya tatu kwa kura mia moja na tano dhidi ya mia moja na moja kwa Kaparo. [0]
Jimbo la Uchaguzi la Emuhaya Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Kinara wa Bunge Kenneth Marende wa Orange Democratic Movement (ODM)]] ambay hatimaye alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Mnamo Januari 2008.
Bunge ya 10 la Kenya Bunge la 10 la Jamhuri ya Kenya lilifunguliwa 15 Januari 2008, likiwa na kundi la Orange Democratic Movement likiongozwa na Raila Odinga, likiwa na wajumbe wengi zaidi. Raila alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa 2007, ambao ulisababisha utata wa ushindi kwa Mwai Kibaki wa PNU. Mwanachama wa ODM, Kenneth Marende alichaguliwa kama spika wa bunge la 10, akamshinda mwanachama wa PNU Francis ole Kaparo 105-101 katika raundi ya tatu ya kura.
Bunge ya 10 ya Kenya Bunge la 10 la Jamhuri ya Kenya lilifunguliwa 15 Januari 2008, likiwa na kundi la Orange Democratic Movement likiongozwa na Raila Odinga, likiwa na wajumbe wengi zaidi. Raila alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa 2007, ambao ulisababisha utata wa ushindi kwa Mwai Kibaki wa PNU. Mwanachama wa ODM, Kenneth Marende alichaguliwa kama spika wa bunge la 10, akamshinda mwanachama wa PNU Francis ole Kaparo 105-101 katika raundi ya tatu ya kura.
Uchaguzi wa bunge nchini Kenya, 2007 Kufuatia uchaguzi, wabunge wawili wa ODM- Mugabe Were na David Kimutai Too -waliuawa wakati wa mgogoro baada ya uchaguzi, ambao ulitokana na mzozo juu ya matokeo ya uchaguzi wa rais. Kufuatia vifo hivi, uchaguzi mmdogo ulihitajika katika majimbo yao; zaidi ya hayo, uchaguzi ulikuwa ufanyike katika majimbo mawili Mkoani Rift Valley ambako matokeo hayakutangazwa kamwe kutokana na vurugu. Kenneth Marende alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge kufuatia uchaguzi, hivyo kuacha kiti chake wazi na kuhitaji uchaguzi mwingine ufanyike katika jimbo lake. Kufikia wakati huu, chama cha ODM kiliachwa na viti 96.