Top 10 similar words or synonyms for manganese

methani    0.879728

hidroksidi    0.854180

oksidi    0.852577

lithi    0.850979

hidrokaboni    0.847886

spana    0.847528

stronti    0.847312

tau    0.844660

molibdeni    0.842217

plutoni    0.841353

Top 30 analogous words or synonyms for manganese

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Tango Tango ni tunda mojawapo lenye maji mengi (kama vile tikitimaji) ambalo linabeba virutubisho kama vile Vitamin B, C, K, Potassium na Manganese.
Halogeni Halogeni zote ni sumu hivyo inabidi kuwa makini sana unapofanya mapambano katika maabara yanayozihusisha. Inabidi ziwe zinatengenezwa katika kifaa kinachozuia gasi kuvuja. Fluorine ni ngumu sana kuitengeneza katika maabara. Halogeni zingine zinaweza kutengenezwa kutoka katika hydrogen halide husika, HCl, Hbr, au HI. Kwa kawaida wakala wa oksidesheni (oxidation) atumikaye ni manganese(IV) oxide.
Halogeni Chanzo rahisi cha hydron chloride ni asidi ya hydrochloric iliyokolea. Kama asidi na manganese(IV) oxide zitapashwa joto kwa pamoja, chlorine hutoka. Kama unataka chlorine safi, gesi hupitishwa kwanza katika maji na kisha katika asidi ya sulphuric iliyokolea. Maji huyeyusha mabaki ya asidi ya hydrochloric, na asidi ya sulphuric hukausha gesi.
Limau Malimao yanafahamika kama msaada mkubwa wa umengenywaji wa chakula, mchanganyiko wa asali nyeusi na makapi huwa kwa kiwango kizuri katika kusafisha oganiza umegaji wa chakula. Virutubisho vingine hujumuisha maji -89%, aside ya sitriki -5%, makapi -2.8%, sukari – 2.5%, Fati – pungufu ya 0.3%, protini – pungufuya 7%, vitamin C, na madini kadhaa kama vile selenium, zinc manganese, na shaba.
Kipimajoto "Thermistor" mbalimbali zilitengenezwa kwa oksaidi za nickel, manganese, au cobalt zinatumika kupima jotoridi kati ya 46 na 150C (kati ya-50 na 300F). vilevile, thermistor zinatumia metali au mchanganyiko wa metali ("alloy") hutumika katika kupima jotoridi la juu. Kwa mfano platinum hutumika kupima mpaka 930 C (1700 F). Kwa kutumia sakiti iliyobuniwa vizuri, mkondo wa umeme unaosomwa na galvanomita unaweza moja kwa moja kutumika kuonyesha namba katika kiambaza cha kipimajoto, hivyo kurahisisha usomaji wa jotoridi.