Top 10 similar words or synonyms for makrofeji

clostridium    0.900440

kilyele    0.896848

nata    0.893649

venlafaksini    0.892671

neisseria    0.890522

oceanside    0.890424

kidoyayo    0.890317

shiga    0.889203

ipomoea    0.888424

patristic    0.887746

Top 30 analogous words or synonyms for makrofeji

Article Example
Bakteria Kapsuli au rusu za slimi zinazotengenezwa na bakteria wengi kuzingira seli zao, na hutofautiana kwa maumbo na miundo: kuanzia rusu ya slimu isiyo na mpangilio ya ya nje ya polima ya seli, na yenye muundo bainishi wa kapsuli au glaikokaliksi. Maumbo haya yanaweza kulinda seli dhidi ya kumezwa na seli za yukariyoti, kama vile makrofeji. Pia wanaweza kufanya kazi kama Antijeni na kushirikishwa katika utambuzi wa seli, kadhalika kuwezesha katika kuunganisha na na kutengenza bio-filamu.
Sklerosisi ya sehemu nyingi Maambukizi ya mielini huanzisha mchakato wa inflamesheni ambao huchochea seli zingine za kinga na utoaji wa vitu mumunyifu kama vile sitokini na antibodi. Kuharibika zaidi kwa kizuizi cha damu na ubongo kisha husababisha athari zingine za uharibifu kama vile kuvimba, uamilishaji wa makrofeji na uamilishaji zaidi wa sitokini na protini zingine haribifu. Inflamesheni inaweza kupunguza upitishaji wa ishara baina ya nuroni kwa angalau njia tatu. Vitu mumunyifu vilivyotolewa vinaweza kuzifanya nuroni zisizoambukizwa zisiweze kupitisha ishara baina yazo. Vitu hivi vinaweza kusababisha au kuzidisha uondolewaji wa mielini, au kusababisha kuvunjika kabisa kwa aksoni.
Nimonia Bakteria nyingi huingia kwa mapafu kupitia Aspiresheni ndogo ndogo za vimelea vinavyoishi katika koo au pua. Nusu ya watu wenye afya huwa na asipiresheni hizi wanapolala. Ijapokuwa koo huwa na bakteria kila wakati, zenye uwezo wa kuambukiza huishi hapo nyakati fulani tu na katika hali fulani. Aina chache za bakteria kama "maikobkteria ya kifua kikuu" na "Legionella numofila" hufika kwenye mapafu kwa matone madogo ya hewani yaliyoambukizwa . Bakteria zinaweza pia kuenea kupitia kwa damu. Zinapofika mapafuni, zinaweza kuvamia nafasi zilizo kati ya seli na kati ya alveoli, ambapo makrofeji na nutrofili (seli nyeupe za damu zinazolinda) hujaribu kuzilemaza. Nutrofili pia hutoa sitokini, na kusababisha uamsho wa kijumla wa mfumo wa kingamwili. Hii ndiyo inayosababisha joto jingi mwilini, kutetemeka, na uchovu unaoshuhudiwa katika nimonia ya bakteria. Nutrofili, bakteria, na viowevu kutoka kwa mishipa ya damu iliyo karibu hujaa katika alveoli na kusababisha konsolidesheni ionekanayo kwa eksirei ya kifua.
Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofungana Ugonjwa sugu wa kufungana kwa mapafu hutokea kama mwitiko mkubwa sugu wa kiinflamesheni kwa vitu vyenye miwasho vilivyovutwa ndani kwa hewa. Maambukizi sugu ya bakteria pia yanaweza kuongeza inflamesheni hii. Seli za kuvimba zinazohusika ni granulositi za nutrofili na makrofeji, aina mbili za seli nyeupe za damu. Wanaovuta pia wana kuhusika kwaTc1 limfositi na watu wengine walio na ugonjwa sugu wa kufungana kwa mapafu wana kuhusika kwa esinofili sawa na inayopatikana katika ugonjwa wa pumu. Kiwango Fulani cha mwitiko huu wa seli husababishwa na viendelezi vya kuvimba kama visababishi vya kemotaksisi. Michakato mingine inayohusiana na uharibifu wa mapafu ni msongo wa kioksaidiunaotolewa na radikali huru kwenye moshi wa tumbaku na kuachiliwa na seli za kuvimba, na kuharibika kwa tishu unganishi za mapafu kwa protisi ambazo hukinzwa kwa kiasi na vikinza protisi. Kuharibiwa kwa tishu unganishi za mapafu ndio unaopelekea emfisema, ambayo kisha huchangia upitaji duni wa hewa, na hatimaye, ufyonzaji na uachiliaji duni wa gesi za kupumua. Upotezaji wa kijumla wa misuli unaotokea katika ugonjwa sugu wa kufungana kwa mapafu unaweza kutokana kwa kiasi na viendelezi vya inflamesheni vinavyotolewa na mapafu hadi kwenye damu.
Sklerosisi ya sehemu nyingi Kuboresha mbinu za kupiga picha za neva kama vile picha ya kompyuta ya miale ya gama au mwangwi wa sumaku wa upigaji picha huwa na tumaini la utambuzi bora na utabiri wa prognosisi, ingawa athari ya maendeleo kama haya katika shughuli za kawaida za kitiba inaweza kuchukua miongo kadhaa. Kuhusu mwangwi wa sumaku wa upigaji picha, kuna mbinu kadhaa ambazo zishaonyesha umuhimu wazo katika Nyanja za utafiti na zinaweza kuanzishwa katika shughuli za kitabibu kama vile utaratibu wa kujipindua mara mbili kwa mpwito wa ateri, uhamisho wa utiaji sumaku, tensa ya msambao, na mwangwi wa sumaku wa upigaji picha tendaji. Mbinu hizi ni mahususi zaidi kwa ugonjwa huu kuliko zilizoko, lakini bado hazina itifaki halisi za kupata na hata maadili sanifu hayajabuniwa. Kuna mbinu zingine zinazoendelea kubuniwa zinazohusisha ajenti tofauti zinazoweza kupima viwango vya makrofeji za ukingoni, inflamesheni, au kuathirika kwa utendaji kazi wa nuroni, na mbinu zinazopima kuwepo kwa ayoni inayoweza kusaidia kutambua jukumu la dalili hii katika sklerosisi ya sehemu nyingi, au la pefusheni ya ubongo.Vilevile, vifuatiliaji vinururishi vipya vya picha za kompyuta za miale ya gama vinaweza kutumika kama viashiria vya michakato iliyotatizwa kama vile inflamesheni ya ubongo, patholojia ya koteksi, apoptosisi, au utengenezaji tena wa mielini.