Top 10 similar words or synonyms for makongo

kibamba    0.931953

penang    0.907901

miao    0.907622

kisutu    0.906947

kidhurga    0.906073

minja    0.905230

eton    0.904942

kiseke    0.904258

kipiame    0.903720

kimbuko    0.903655

Top 30 analogous words or synonyms for makongo

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Makongo Makongo ni jina la kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 43,796 waishio humo.
Kata za Mkoa wa Dar es Salaam Bunju | Goba | Hananasif | Kawe | Kibamba | Kigogo | Kijitonyama | Kimara | Kinondoni | Kunduchi | Kwembe | Mabibo | Mabwepande | Magomeni | Makongo | Makuburi | Makumbusho | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mbezi juu | Mburahati | Mbweni | Mikocheni | Msasani | Msigani | Mwananyamala | Mzimuni | Ndugumbi | Saranga | Sinza | Tandale | Ubungo | Wazo
Amani Temba Mh Temba alizaliwa mwaka 1980 na kupata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Temeke na baadaye kujiunga na shule ya sekondari ya Nuru Yakini ambako alisoma kwa miaka miwili kabla ya kuhamia sekondari ya Makongo, alisoma Makongo kwa mda wiki moja tu na kwenda kujiunga na sekondari nyingine inayomilikiwa na Jeshi ya Jigetemee baada ya kupata ofa ya kusomeshwa bure na uongozi wa shule hiyo enzi hizo ukiwa chini ya Luteni kanali Fabian Massawe ambaye sasa ni Mkuu wa wilaya ya kinondoni.
Amina Chifupa Amina Chifupa Mpakanjia alizaliwa tarehe 20 Mei, mwaka 1981 na amefariki tarehe 26 Juni 2007. Mh. Chifupa alisoma shule ya msingi Ushindi na kujiunga na masomo ya sekondari Kisutu kabla ya kuingia shule nyingine ya sekondari ya Makongo alikomaliza elimu ya kidato cha sita mwaka wa 2001.
Angela Damas Angela amekuwa katika harakati mbalimbali za kijamii ambazo alianza kujishughulisha nazo tokea akiwa katika elimu ya sekondari. Angela alianza elimu yake ya chekechekea nchini Ukraine, na baada ya hapo kuendelea nchini Tanzania alipohamia na baba yake. Nchini Tanzania, Angela alianza elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Kisiwandui iliyopo Zanzibar, halafu kuhamia shule ya msingi Kawe iliyopo Dar es salaam akiwa darasa la pili. Angela alisoma elimu yake ya sekondari katika shule ya sekondari ya Makongo , na kumalizia high school katika shule ya sekondari ya Zanaki, zote zipo jijini Dar es salaam, Tanzania.