Top 10 similar words or synonyms for makaveli

kastro    0.951885

kadafi    0.926658

yaki    0.923134

outro    0.922524

noble    0.920369

darryl    0.916457

intro    0.896584

badd    0.885471

mean    0.879067

hurt    0.878643

Top 30 analogous words or synonyms for makaveli

Article Example
Makaveli & Dillinger Don't Go 2 Sleep Makaveli & Daz Dillinger Don't Go 2 Sleep - Tha EP ni albamu ya kutaja nyimbo mchanganyiko iliyotolewa na Makaveli na Daz Dillinger. Albamu hii ina nyimbo nane. Kuna matoleo mengine mawili ya (bootleg) ambayo pia ni EP, lakini toleo halisi lina nyimbo nane tu. Albamu ilitolewa mnamo tar. 24 Desemba, 2001 kupitia studio ya D.P.G. Recordz. Albamu zilirekodiwa katika studio za Death Row Records kati ya mwaka wa 1995-96 kwa ajili ya mradi wa Tupac na Boot Camp Clik "One Nation". Baadaye wakati Daz ameondoka Death Row, amekwiba baadhi ya nakala kuu ya kiasi cha nyimbo za Tupac ambazo hazijatolewa, baadhi zinaweza kusikika katika albamu hii ya EP. Wimbo pekee ambao umeachwa bila kuguswa na Daz ni "They Don't Give a Fucc About Us", lakini hizo nyingine alifanya remixi zake na kujiingiza kwenye nyimbo ambamo awali hakuwepo.
Dandora saint makaveli 11 nmepita hapa
Tupac Shakur Mara nyingi aliitwa 2Pac, Pac, Makaveli na pia mwenyewe akajiita The Don Kiluminati. Tupac, pia alishawahi kuishikiria Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.
Until the End of Time Until the End of Time ni albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha rapa Tupac Shakur. Albamu imebeba maujanja ambayo awali hayakutolewa na maremixi kibao ya manyimbo kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati ameingia mkataba na Death Row Records. Albamu hii ilikuwa ya pili kutolewa bila kutiwa maujanja ya Shakur mwenyewe. "Until the End of Time" ilikuwa ikibatabiliwa sana kwamba itakuwa albamu bora ya hip hop kimauzo na kuishia kama ilivyotabiliwa mnamo 2001.
The Don Killuminati: The 7 Day Theory The Don Killuminati: The 7 Day Theory ni albamu ya mwisho ya Tupac Shakur, chini ya jina jipya la Makaveli, aliimaliza kabla ya kifo chake na ya kwanza kutolewa baada ya kifo chake. Shakur alikamilisha ubunifu wa kila na kuweka jina la kava la albamu alama ambayo inaonyesha kiasi vyombo vya habari jinsi walivyomsulubisha. Albamu ilikamilika kabisa katika kipindi cha siku saba katika kipindi cha mwezi wa Agosti 1996. Mashairi yaliandikwa na kurekodiwa katika siku tatu pekee na kui-mixi na kuchukua siku nyingine nne kwa kuikamalisha kabisa. Hizi ni miongoni mwa nyimbo zake za mwisho kabisa kabla ya kuuawa kwake mnamo 7 Septemba 1996.
Thug Life: Volume 1 Thug Life: Volume 1 ilikuwa albamu ya kwanza kutolewa na kundi la Thug Life, lililoanzishwa na rapa Tupac Shakur, na ilitolewa mnamo tar. 26 Septemba 1994. Awali albamu ilitolewa na studio ya Shakur ya Out Da Gutta Records. Kwa kufuatia upondaji mkubwa juu ya muziki wa gangsta rap kwa kipindi hicho, toleo halisi la albamu likatiwa kapuni na kurekodiwa upya na nyimbo nyingine mpya kibao na zile baadhi za awali kukatwa. Ilisemekana kwamba 2Pac alitengeneza matoleo mengine mawili ya albamu hii, yenye nyimbo kibao ambazo bado hazikutolewa. Kundi linaunganishwa na Big Syke, Macadoshis, Mopreme, The Rated R na Tupac Shakur. Miongoni mwa nyimbo kali kutoka kwenye albamu hii ni pamoja na "Bury Me a G","Cradle to the Grave", "Pour Out a Little Liquor", "How Long Will They Mourn Me?" na "Str8 Ballin". Mnamo mwaka wa 1996 Big Syke na Shakur walipanga watengeneze toleo la pili la "Thug Life: Vol. 2 - Out On Bail" ambayo ilitakiwa itolewe na studio ya Makaveli Records, lakini yale mauaji ya mwisho ya mjini Las Vegas yamesababisha hili lisiwe kweli. Japokuwa awali albamu ilitolewa chini ya studio ya Shakur ya Out Da Gutta, Amaru Entertainment, studio ambayo inamilikiwa na mama yake Tupac Shakur, imekuwa ikipata haki zake. "Thug Life: Volume 1" ilitunukiwa Dhahabu
Better Dayz Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba 2002, na kushika nafasi ya 5 kwenye chati za Billboard 200. Albamu inakusanya pamoja maujanja na manyimbo remixi kadhaa yasiyotolewa kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati anaingia mkataba na Death Row Records, na -litayarishwa na Johnny "J", Jazze Pha, Frank Nitty, na E.D.I. wa Outlawz. Vibao vikali vinajumlishwa na "My Block (remix)," "When We Ride on Our Enemies," "Catchin' Feelins" na "Never Call U Bitch Again". Pia ni pamoja na "Military Minds" ambayo ameshirikisha wanachama wa Boot Camp Clik - Buckshot na Smif-n-Wessun (ameingia kama Cocoa Brovaz) ambayo ilitakiwa iwe ushirikiano wa kialbamu baina ya Shakur na BCC lioitwa "One Nation" lakini haikutolewa rasmi kwa kufuatia kifo cha Shakur. Inashirikisha rekodi zisizotolewa 23 ikiwa pamoja na maremixi kadhaa ya kuanzia kipindi cha 1995-1996 pamoja na ingizo fulani la Shakur kwa ajili ya albamu kabla kupigwa risasi kinyama - ikiwa pamoja na kuonekana kwake Nas, Outlawz, Mýa, Jazze Pha, Ron Isley, na Tyrese, na wengine wengi. Single bab-kubwa, "Thugz Mansion," imekuja katika matoleo mawili: toleo la akustika la Nas, ambayo muziki wake wa video umetokana na toleo la hip-hop akimshirikisha Anthony Hamilton. Mnamo tar. 31 Januari 2003, ilitunukiwa 2x Platinum nchini Marekani.