Top 10 similar words or synonyms for maharashtra

madhya    0.952073

universiti    0.945945

pradesh    0.945091

chennai    0.943082

uttar    0.942594

nadu    0.938870

kuala    0.924475

tamil    0.923025

lumpur    0.913801

ludhiana    0.910813

Top 30 analogous words or synonyms for maharashtra

Article Example
Maharashtra Maharashtra ni jimbo ya Uhindi. Mji mkuu wake ni Mumbai.
Chuo Kikuu cha Mumbai Chuo Kikuu cha Mumbai ni chuo kikuu nchini Uhindi, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1857 katika Mumbai, Maharashtra.
Mumbai 1995 serikali ya Maharashtra iliamua kubadilisha jina kuwa Mumbai kwa heshima ya mungu mmoja wa Kihindu. Wenyeji wanaendelea kutumia majina yote mawili.
Mumbai Mumbai (Kihindi: मुंबई  pia: Bombay) ni mji mkuu wa jimbo la Maharashtra kwenye pwani la magharibi la Uhindi. Mumbai ni mji mkubwa wa India mwenye wakazi milioni 12.
Dadra na Nagar Haveli Dadra na Nagar Haveli ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Dadra iko ndani ya jimbo la Gujarat, wakati Nagar Haveli iko kati ya jimbo hilo na lile la Maharashtra.
Nagpur Nagpur ni mji wa Uhindi katika jimbo la Maharashtra. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 2.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 310 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 218 km².
Thane Thane ni mji wa Uhindi katika jimbo la Maharashtra. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao milioni 1.4 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 147 km².
Pune Pune ni mji wa Uhindi katika jimbo la Maharashtra. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 3.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 560 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 1109.69 km².