Top 10 similar words or synonyms for magic

evil    0.952991

lost    0.949343

seven    0.948920

midnight    0.946723

lights    0.943222

hearts    0.943029

hero    0.940135

five    0.939918

kid    0.939657

guest    0.939183

Top 30 analogous words or synonyms for magic

Article Example
Magic Bus Brandi hii pia ilitumika kule Newcastle mnamo 1997 wakati wa majaribio ya kuwaondoa wahudumu wadogo katika eneo hilo.
Magic Bus Jina hili lilitumika kwa mara ya kwanza mjini Glasgow, Scotland miaka ya 1980 wakati Routemaster zilizokuwa za Usafiri wa London zilikuwa zikitumika lakini huduma hiyo hatimaye iliuzwa kwa Kelvin Central Buses mnamo 1994. Leo hii mabasi mengi ya Magic Bus ni mabasi ya zamani ya deka mbili. Mabasi mengine ya aina ya tri-axle ya deka mbili yaliyonunuliwa kutoka maeneo ya Uhudumu wa Stagecoach ya Kenya na Hong Kong pia yanatumika.
Magic Bus Brandi ya "Magic Mini" pia ilijihusisha na ushindani mdogo katika barabara ya Black Isle kuelekea Inverness katika milima ya Scotland dhidi ya wahudumu wa humo nchini operator Scotbus; huku Stagecoach ikitumia mbinu za kuaini kama kupanga basi dakika tano kabla ya washindani wao na kupunguza nauli. Ushindani wa o ulifikia kilele na kugeuka vita wakati kituo kimoja cha Stagecoach Inverness kilishambuliwa ..
Orlando Magic Orlando Magic ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Orlando, Florida. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Dwight Howard.
Magic Bus Magic Bus Ni brandi ya basi ambayo Shirika la Stagecoach hutumia kwa mabasi yake nchini Ufalme wa Muungano, ambayo kwa kawaida huhudumu chini ya ushindani mkali kutoka kwa wahudumu wengine.