Top 10 similar words or synonyms for maada

molekyuli    0.875410

dutu    0.855991

ogania    0.852816

mango    0.844515

thabiti    0.843803

mata    0.842677

heli    0.831924

kikemia    0.830915

kampaundi    0.821678

chaji    0.813698

Top 30 analogous words or synonyms for maada

Article Example
Hali maada Hali ya maada ni muundo jinsi maada hutokea katika hali mbalimbali, ama kama elementi (dutu tupu) au kama kampaundi (dutu za mchanganyiko).
Hali maada Mfano ambao hueleweka kwa urahisi ni maji. Maji ni dutu ileile inayofanywa na molekuli za HO zenye atomu moja ya oksijeni na atomu mbili za hidrojeni. Maji tunajua kwa umbo tatu za kawaida (hali kiowevu kati ya sentigredi 1-99), barafu (chini ya sentigredi 0 ambayo ni hali mango) na mvuke (hali ya gesi, juu ya 100°C).
Hali maada Katika hali kiowevu atomu zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Tunasema dutu ni kama majimaji. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo. Kiowevu chakubali kila umbo la chombo kinamomwagwa.
Hali maada Duniani kwa kawaida kuna hali tatu za maada:
Hali maada Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani atomu au molekuli zake zahusiana.