Top 10 similar words or synonyms for lloyd

davis    0.962911

gary    0.959156

turner    0.952728

anderson    0.948724

ron    0.948540

perry    0.947862

stewart    0.946993

billy    0.944909

lisa    0.944878

walter    0.944007

Top 30 analogous words or synonyms for lloyd

Article Example
Lloyd Banks Kwakweli iliwagusa baadhi ya watu na kuanza kumshangaa Lloyd anavyo fanya mambo ya ajabu mtaanii hapo. Akawa anahifadhi baadhi ya mashari kisha anaenda kushiriki katika mashindano ya mtaani, huku akiwa anabuni nanma ya kuwavuta watu, pia na majigambo yasiyozulika na kuanza kujivumisha kuwa yeye ni mmbora zaidi.
Lloyd Banks Tony Yayo, ni mkubwa kiumri na anauzoefu katika muziki wa rap, alijiunga na 50 Cent katika safari ya kumtafutia soko Nas, Cash Money na Ruff Ryders. Banks yeye alibaki nyumbani akimsubiri 50 Cent na Yayo kurudi huko safarini.
Lloyd Banks Christopher Charles Lloyd (Amezaliwa tar. 30 Aprili 1982), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lloyd Banks, ni rapa wa kimarekani na mmoja wa kundi la G-Unit.
Lloyd Sherr Lloyd Sherr (amezaliwa tar. 28 Februari 1956) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.
Lloyd Banks Lloyd Banks alizaliwa na mzee Christopher Lloyd mjini Baltimore, Maryland na akakulia mjini South Jamaica, Queens. Mama yake ni Mpuerto Rico na baba yake ni Mmarekani mweusi.