Top 10 similar words or synonyms for lithi

cadimi    0.897552

niobi    0.895296

spana    0.894373

alikali    0.892918

stronti    0.892103

haimenyuki    0.890109

kriptoni    0.887247

arigoni    0.885187

potassium    0.883290

zinazojengwa    0.881011

Top 30 analogous words or synonyms for lithi

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Lithi Lithi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 3 na uzani atomia 6.941 kwenye mfumo radidia. Alama yake ni Li. Jina latokana na kigiriki λίθος "líthos" "mwamba, jiwe" kwa sabu iligunduliwa mara ya kwanza ndnai ya miamba.
Lithi Kiasili haipatikani kama dutu sahili kwa sababu inamenyuka haraka kikemia lakini iko kwa kampaundi mbalimbali hasa katika miamba ya itale. Lithi tupu inapatikana kwa njia ya kikemia inaonekana kama metali nyepesi yenye rangi nyeupe-kifedha lakii haibaki hivyo kwa muda mrefu. Katika hewa yenye unyevu uso wake huwa haraka ganda la hidroksidi ya lithi yenye rangi kijivu. Kwenye hewa kavu uso huwa nitriti ya lithi yenye rangi kahawia. Kwa sababu ya mimenyuko hii ya haraka lithi ya kimetali hutunzwa ndani ya mafuta.
Lithi Lithi ni elementi nyepesi kabisa kati ya elementi zote zilizo imara kwa hali ya kawaida. Inamenyuka haraka na maji hivyo husababisha majeraha ikiguswa kwa mkono kwa sababu mmenyuko wake na unyevu wa ngozi.
Lithi Kuna isotopi 5 za lithi zenye neutroni 2, 3, 4, 5 na 6 kwenye kiini atomia. Isotopi ya kawaida ni Li yenye 7.42 % ya lithi yote. Nyingine zapatikana kidogokidogo tu.
Lithi Matumizi yake ni ndani ya beteri na katika madawa mbalimbali. Beteri za kisasa zinazotumiwa katika simu za mkononi karibu zote zinatumia lithi. Mipango ya kutengeneza magari ya umeme inategemea beteri za lithi na hivyo imetabiriwa ya kwamba bei yake inaelekea kupanda juu.
Metali alikali Metali alikali ni elementi za kundi la kwanza katika mfumo radidia hasa lithi, natiri, kali, rubidi, caesi na fransi. Hidrojeni ni pia elementi ya kundi la kwanza lakini kwa kawaida haionyeshi tabia za metali alikali.