Top 10 similar words or synonyms for latifah

cube    0.883504

suge    0.882048

queen    0.878269

boys    0.874400

blues    0.873491

bad    0.869693

cent    0.869329

nas    0.866642

dancing    0.865616

gang    0.860315

Top 30 analogous words or synonyms for latifah

Article Example
Queen Latifah Latifah alizaliwa na kukulia mjini Newark, New Jersey, binti wa Rita, mwalimu wa shule ambaye alifanya kazi katika shule ya Irvington High School ya mjini New Jersey, na Lancelot Owens, Sr, ambaye ni afisa wa polisi. Wazazi wake walitalikiana wakati Latifah akiwa na umri wa miaka kumi. Latifah alikulia katika kanisa la Kibaptist. Jina lake la kisanii, "Latifah" (لطيفة), maana yake "laini" na "mwanana" kwa Kiarabu, alipewa jina hilo na binamu yake wakati ana umri wa miaka minane. Daima msichana shupavu, urefu wa futi 5'10" wa Latifah alikuwa mtu wa mbele katika timu ya mpira wa kikapu ya shuleni kwake. Aliimba kipengele cha "Home" kutoka katika filamu ya muziki ya "The Wiz" katika mchezo wa kuigiza wa shuleni kwake.
Queen Latifah Mnamo 2009, Latifah, akiwa pamoja na Jubilation Choir, wamerekodi kibao kwenye albamu ya , wameurudia wimbo wa Oh Happy Day wa kina Edwin Hawkins Singers waliopatia umaarufu mnamo 1969.
Queen Latifah Dana Elaine Owens (amezaliwa tar. 18 Machi 1970), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Queen Latifah, ni rapa, mwigizaji, na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Kazi zake Queen Latifah katika muziki, filamu na televisheni zimepelekea kupata tuzo ya Golden Globe, Screen Actors Guild Awards mbili, Image Awards mbili, Grammy Award, amechaguliwa mara sita kwenye Grammy, na kuchaguliwa tena kwenye Emmy Award na Academy Award.
Queen Latifah Latifah alianza beatboxing kwa ajili kundi la rap la "Ladies Fresh". Latifah alikuwa mmoja kati ya wanachama wa toleo halisi la Flavor Unit, ambalo, kwa kipindi hicho, -likuwa kundi la Ma-MC walioungana na mtayarishaji DJ Mark the 45 King. Mnamo 1988, DJ Mark the 45 King alisikia toleo la mfano (demo) la single ya Latifah "Princess of the Posse" na kutoa demo ile kwa Fab Five Freddy, ambaye alikuwa mtangazaji wa "Yo! MTV Raps".
Queen Latifah Freddy alimsaidia Latifah kuingia mkataba na Tommy Boy Records, ambao ndiyo waliotoa albamu ya kwanza ya Latifah, "All Hail the Queen" mnamo 1989, akiwa na umri wa miaka kumi na tisa. Mwaka huo, alionekana kama mwamuzi kwenye UK label Music of Life album "1989—The Hustlers Convention (live)". Mnamo 1998, ashirikiana na Ro Smith sasa ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Def Ro Inc. akaweza kutayarisha na kutoa albamu yake ya nne ya hip-hop, "Order in the Court".