Top 10 similar words or synonyms for laface

selela    0.930361

kijorto    0.923327

kingiemboon    0.922796

kiterebu    0.922176

kinoy    0.921483

kiday    0.920552

kitenis    0.920391

kidek    0.920115

kijere    0.919985

kienga    0.919804

Top 30 analogous words or synonyms for laface

Article Example
Usher (albamu) Usher ni jina la albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B-pop wa Kimarekani - Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 1994 na studio ya LaFace Records na Arista Records.
Donell Jones Mwaka wa 1996, Donell Jones alitia saini na LaFace Records na kutoa albamu yake ya kwanza, "My Heart," ambayo ni pamoja na wimbo uliovuma wa Stevie Wonder wa 1976 "Knocks Me Off My Feet".
Toni Braxton (albamu) Toni Braxton ni albamu ya mwanzo yenye jina lilo hilo ambayo imetolewa na mwimbaji wa R&B wa Marekani Toni Braxton. Ilitolewa nchini U.S.A mnamo 13 Julai 1993 na shirika la LaFace Records ilikaa katika chati za Billboard 200 kwa majuma mawili yasiyofuatana na ikauza nakala zaidi ya nakala milioni nane nchini Marekani pekee.
Live (albamu ya Usher) Live ni albamu ya ukumbini ya msanii Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 23 Machi 1999 na studio ya LaFace Records ikiwa imejumlisha vibao vyote mashuhuri vya Usher vya muda wote aliokuwa kwenye shughuli hizi za kimuziki. Tangu hapo ametunukiwa Dhahabu nchini Marekani, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 500,000.
T.I. Kuvuma kwake kwa, kulipelekea washabiki wake kulichukua jina lake "poa poa", ikamlazimu kulibadilisha na kuliita "T.I.P". Pindi alipotia saini mkataba na studio ya Arista Records inayosaidiwa na studio ya LaFace Records mnamo 2001, akalifupisha jina lake na kuliita T.I. kwa heshima na taazima ya mwanamuziki mwezake aitwaye Q-Tip.
My Way (albamu ya Usher) My Way ni jina la kutaja albamu ya pili ya mwimbaji-mtunzi wa R&B Usher. Albamu ilitolewa ba studio ya LaFace Records mnamo tar. 16 Septemba ya mwak wa 1997. Single maarufu kutoka kwenye albamu hii, ni pamoja na "You Make Me Wanna", "My Way", na "Nice and Slow".
Ooooooohhh... On the TLC Tip Ilivyotoka tu ikaingia #24 kwenye chati za Billboard 200, albamu hii imeona zaidi mafanikio kuliko hata ile iliotangulia, na kuna tofauti kibao katika utayarishaji ambazo zinaelezeka. Vibao kikali kutoka kwenye albamu hii ni "Ain't 2 Proud 2 Beg" na "Baby-Baby-Baby" na zimefika kiwango cha platinum. Ingawa albamu yenyewe kabisa ilitolewa chini ya LaFace, haki zote kwa sasa zinamilikiwa na Amaru Entertainment, studio inayomilikiwa na Afeni Shakur, mama yake rapa huyu.