Top 10 similar words or synonyms for kuyatoa

hayapo    0.790176

komponenter    0.775571

humea    0.762715

uonekane    0.762118

yanatolewa    0.754935

candice    0.751056

kiisekiri    0.747410

huelea    0.742254

kizingitini    0.739067

yalibaki    0.738785

Top 30 analogous words or synonyms for kuyatoa

Article Example
Agostino wa Hippo Miaka minne iliyofuata Augustino alifanya kazi kubwa kwa kumaliza vitabu mbalimbali na kuanza kuandika vingine. Kati ya vile vya wakati huo kuna “Retractationes” (yaani “Kupitia Upya” vile vilivyotangulia), ambamo tunaona unyofu wake kwa kuwa tayari kurekebisha baadhi ya mafundisho aliyowahi kuyatoa. Hivyo mpaka mwisho alionyesha alivyolenga ukweli kuliko yote.
Uhuru wa nafsi Mbali ya mambo yaliyo katika upeo wa ufahamu wetu, ndani mwetu mna mambo tusiyoweza kuyafahamu kwa kuwa yamefichika kabisa kama katika kisima kirefu. Baadhi yake ndiyo asili ya matatizo ya nafsi yetu. Tusipoyakabili kwa ukweli na kuyatoa nje hatutapona. Kweli kuna mengi kuliko macho yawezayo kuyaona.
Pumu Ugonjwa huu huwa na visa vya kujirudia vya kukoroma, upungufu wa pumzi, kujikaza kwa kifua, na kukohoa. Makohozi yanaweza kutoka mapafuni, lakini kwa kawaida huwa vigumu kuyatoa. Ukiendelea kupata nafuu yanaweza kutokea uchafu kama usaha kwa sababu ya kiwango cha juu cha seli nyeupe za damu ziitwazo esinofili. Dalili huwa mbaya zaidi usiku na mapema asubuhi au kwa athari ya mazoezi au baridi. Baadhi ya watu wenye ugonjwa huu ni nadra kwa kawaida kuhisi dalili, kwa athari za visababishi, ilhali wengine wanaweza kuwa na dalili zinazotambulika na zinazoendelea.
Sheria Mifano ya uhalifu ni mauaji, kushambulia, udanganyifu na wizi. Katika mifano maalum utetezi unaweza kutumika kwa vitendo maalum, kama zile kuuwa ili utetezi wa kibinafasi, au katika nyakati maalum kujitetea kuwa wazimu. Mfano mwingine ni katika kesi ya karne ya 19 ya "Jamhuri dhidi ya Dudley na Stephens", iliyopima utetezi wa "kimahitaji". Meli ya "Mignonette", iliyokuwa ikisafiri kutoka mji wa Southampton kuelekea mji wa Sydney, ilizama. Wafanyikazi watatu wa meli hiyo na Richard Parker, kijana aliyekuwa na umri wa miaka 17, walibaki katika meli iliyoundwa na vijiti. Walikuwa na njaa na kijana yule alikuwa karibu kufa. Kwa sababu ya kuwa na njaa iliyokithiri, wafanyikazi hao walimuuwa kijana yule na kumla. Wafanyikazi hao waliokolewa, lakini wakafikishwa mahakamani huku wakiwa na hatia ya mauaji. Walijitetea kwa kusema kwamba ilihitajika kwa lazima kwa wao kumuuwa kijana yule ili kuyaokoa maisha yao. Bwana Coleridge, akieleza kukataa kukubwa, aliamua, "kuhifadhi maisha ya kibinafsi ni, kwa kuzungumza kijumla, wajibu, lakini inaweza kuwa jukumu kuu kuyatoa maisha hayo kama kafara." Wanaume hao walihukumiwa nyonga, lakini maoni ya umma uliunga mkono haki ya wafanyikazi wale wa meli kuyaokoa maisha yao. Mwishowe, Ufalme ulipunguza hukumu zao hadi miezi sita gerezani.
Mapinduzi ya Viwandani Uchimbuzi wa makaa ya mawe nchini uingereza, hasa katika eneo la Wales ya Kusini ulianza mapema. Kabla ya injini ya mvuke, mashimo yalikuwa mafupi na yalifuata maeneo lenye makaa ya mawe juu ya ardhi, ambayo yaliwacha kutumika kadiri makaa ya mawe yalivyochimbwa. Wakati mwingine, ikiwa jiolojia ilikuwa nzuri, makaa ya mawe yalichimbuliwa kwa kutumia mgodi wa kiaditi au mgodi wa kusonga uliochimbwa katika upnde wa mlima. uchimbuzi wa madini kutoka mashimo yaliyochimbwa ulifanywa katika maeneo kadhaa, lakini kikwazo kilukuwa kuyatoa maji. Ingefanywa kwa kutumia ndoo kuyachota maji kutoka mashimo hayo au kwa “sough” (shimo lililochimbwa katika upande wa mlima ili kutoa mawe yenye madini kutoka kwa mgodi). Kwa kutumia mbinu yoyote ile, maji lazima yangeelekezwa kwa mkondo au chimbuko ambapo yangeweza kutiririka yakitumia mvuto. Kuanzishwa kwa utumizi wa injini ya mvuke kuliwezesha pakubwa kuondoa maji na kuliwezesha mashimo kuchimbwa kwa undani zaidi, na pia kuwezesha makaa ya mawe zaidi kutolewa. Haya yalikuwa maendeleo ambayo yalikuwa yameanza kabla ya Mapinduzi ya Viwandani, lakini yalitumika kwa injini ya mvuke ya James Watt iliyokuwa bora zaidi kuanzia miaka ya 1770 ambapo yalipunguza bei ya kuni ya injini, na kufanya migodi iwe yenye faida zaidi. Uchimbuzi wa makaa ya mawe ulikuwa wa kihatari sana kwa sababu ya kuwepo kwa motonyevunyevu katika maeneo mengi yenye makaa ya mawe ardhini. Usalama kidogo ulipatikana kwa kutumia taa ya usalama iliyovumbuliwa mnamo mwaka wa 1816 na Humphry Davy na kuvumbuliwa na George Stephenson akiwa peke yake. Hata hivyo, taa hizo hazikusaidia sana kwani zilisababisha hatari kwa haraka sana na pia zilitoa mwanga dhaifu. Milipuko ya Motonyevunyevu iliendelea, na kuwezesha wakati mwingine milipuko ya vumbi ya makaa ya mawe, kwa hivyo idadi majeruhi ilizidi kupanda katika kipindi chote cha karne ya kumi na nane. Mazingira ya kikazi yalikuwa mabaya sana, huku kukiwa na visa vingi vya majeruhi kutokana na mawe kuanguka.