Top 10 similar words or synonyms for kuvumbuliwa

uwanamitindo    0.739568

fosfeti    0.717316

kuhangaika    0.714182

aksoni    0.709017

mkasa    0.703515

kuchomeka    0.700770

yanakuwa    0.695618

mda    0.693360

stethoskopu    0.691177

ikipungua    0.687372

Top 30 analogous words or synonyms for kuvumbuliwa

Article Example
Lugha Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilishi cha lugha ya mazungumzo katika mfumo wa maandishi. Lugha ya maandishi ni changa kwani imeanza milenia za hivi karibuni baada ya kuvumbuliwa kwa maandishi.
Malaria Mapema katika karne ya 20, kabla [[viuavijasumu]] kuvumbuliwa, [[Julius Wagner-Jauregg]] aligundua kwamba wagonjwa wa [[kaswende]] wangeweza kutibiwa kwa kuambukizwa kimakusudi kwa vimelea vya malaria; homa iliyosababishwa iliua [[spirochete]] za malaria, hatimaye [[kwinini]] ingetolewa kudhibiti malaria. Ingawa baadhi ya wagonjwa walikufa kutokana na malaria, hii ilidhaniwa kuwa afadhali kuliko kifo ambacho hakinge epukika kutokana na kaswende.
Mbozi Eneo hilo linapata umaarufu zaidi baada ya kuvumbuliwa mabaki ya mifupa ya mijusi mikubwa ya kale dinasaure kando ya kijito Mahoma. Profesa Patrick O'Connar wa Chuo kikuu cha Ohio nchini Marekani amekuwa akifanya utafiti tangu mwaka 2002 ambapo ameweza kugundua mabaki hayo.
Historia ya tarakilishi Rula Mtelezo (Slide rule) ilivumbuliwa mwaka 1620. Hii ni Tarakilishi analojia iwezeshayo hesabu za kuzidisha na kuganya zifanyike kwa wepesi na haraka zaidi ukilinganisha na ilivyokuwa hapo nyuma. Hapa namba halisi zinawakilishwa kama umbali au nafasi baina ya vituo viwili katika mstari mnyofu. Rula Mtelezo ilikua ikitumiwa na vizazi vya wahandisi na wataalamu wa hesabu mpaka kilipokuja kuvumbuliwa Kikokotoo cha Mfukoni.
Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofungana Ugonjwa huu ukizidi husababishashinikizo kwenye ateri za mapafu, ambayo hushinikiza ventrikali ya kulia ya moyo. Hali hii huitwa ugonjwa wa moyo na mapafu, na husababisha dalili za kufura miguu na kufura kwa mishipa ya shingo. Ugonjwa sugu wa mapafu yaliyofungana hutokea zaidi kuliko ugonjwa mwingine wowote wa mapafu kama kisababishi cha ugonjwa wa moyo na mapafu. Ugonjwa wa moyo na mapafu umekuwa nadra tangu kuvumbuliwa kwa oksijeni ya mtungi.
Utamaduni Mizozo ya kijamii na maendeleo ya kiteknolojia yanaweza kusababisha mabadiliko katika jamii kwa kubadili mikikimikiki ya kijamii kwa kukuza ruwaza mpya za utamaduni kwa kuwezesha tukio zalishi. Hii mihamisho ya kijamii huweza kuandamana na mihamisho ya kiitkadi na aina nyingine za mabadiliko ya kitamaduni. Kwa mfano muungano wa kifeministi wa Kimarekani ulihusisha matendo mapya yaliyosababisha uhamisho katika mahusiano ya kijinsia,kubadilisha jinsia na miundo ya kiuchumi. Hali ya kimazingira inaweza kuchangia. Mabadiliko huhusisha kufuata nguli wa kienyeji katika filamu. Kwa mfano,misitu ya kitropika ilirejea tena mwishoni mwa enzi ya theluji.mimea iliyofaa kwa kufugwa ilikuwepo,ikasababisha kuvumbuliwa kwa kilimo,ambacho kilisababisha uvumbuzi wa kitamaduni na mihamisho ya mikikimikiki ya kijamii.
Malaria Kabla ya kuvumbuliwa kwa kiuadudu cha DDT,maeneo kadhaa ya kitropiki pia yalitokomeza au kudhibiti malaria kwa kuondoa au kusumisha maeneo ya mbu kuzaliana au maji ambamo lava huishi, kwa mfano kwa kumwaga au kujaza mafuta mahali maji yamesimama. Mbinu hizi hazijatumika vilivyo barani Afrika kwa zaidi ya nusu karne. Katika miaka ya 1950 na 1960 kulikuwa na juhudi kubwa za afya ya umma kutokomeza ugonjwa wa malaria duniani kwa kulenga maeneo ambako malaria ilikuwa imeenea. Hata hivyo, juhudi hizi hazijafaulu kutokomeza malaria katika sehemu nyingi zinazoendelea duniani, tatizo hilo limeenea zaidi barani Afrika.
Mapinduzi ya Viwandani Mahitaji makubwa ya barabara za reli ya reli ambayo ingeweza kudumu zaidi ilisababisha kuvumbuliwa kwa mbinu za kuzalisha kwa bei nafuu idadi kubwa ya stili. Stili mara nyingi hutajwa kama eneo ya kwanza kati ya maeneo mengi ya uzalishaji wa kiasi kikubwa viwandani, ambazo zinasemekana kuwa sifa ya "Mapinduzi ya Viwandani ya Pili ", kuanzia mwaka wa 1850, ingawa mbinu ya kutengeneza stili kwa kiwango kikubwa haikuvumbuliwa hadi mnamo miaka ya 1860, wakati ambapo Henry Bessemer aliundwa tanuri mpya ambayo ingeweza kutengeneza chuma nzito na stili kwa kiwango kikubwa. Hata hivyo, iliweza tu kupatikana kwa wingi katika miaka ya 1870. Mapinduzi haya ya pili ya Viwandani yalikua ya polepole na ya kujumuisha viwanda vywa kemikali, usafishaji na usambazaji wa mafuta, viwanda vya umeme, na, katika karne ya ishirini, viwanda vya magari, na ilikuwa na mpito ya uongozi wa kiteknolojia kutoka nchi ya Uingereza hadi nchi Mrekani na Ujerumani.
Mapinduzi ya Viwandani Mwanzo wa wakati wa mwisho wa karne ya 18 mabadiliko katika baadhi ya sehemu za Uingereza yalianza na kazi ambazo hapo awali zilikuwa za mkononi na uchumi uliotumia wanyama kuendesha kazi kulibadilishwana uundaji bidhaa uliotegemea mashine. Ilianza na utumizi wa mashine katika viwanda vya nguo, uundaji kwa mbinu za kutengeneza chuma na kuzidi kutegemea makaa ya mawe yaliyosafishwa. Upanuzi wa biashara uliwezeshwa na kuanzishwa kwa mifereji, uboreshaji wa barabara na reli. Kuvumbuliwa kwa nguvu za mvuke kuliowezeshwa hasa na makaa ya mawe, utumizi mwingi wa gurudumu la maji na mashine za nguvu (hasa katika kutengeneza nguo) kulisisimua kuongezeka kukubwa wa uwezo wa uzalishaji. Kuundwa kwa vifaa vya mashine ambavyo vilikuwa vya chuma pekee katika miongo miwili ya kwanza ya karne ya 19 kuliwezesha kutengenezwa kwa mashine zaidi za kuunda vifaa katika viwanda vingine. Matokeo yalienea kote katika Ulaya ya Magharibi na Marekani ya Kaskazini wakati wa karne ya 19, na hatimaye kuathiri karibu Dunia yote, mchakato ambao unaendelea katika kuenea kwa viwanda. Athari ya matokeo kwa jamii ilikuwa kubwa sana.
Mapinduzi ya Viwandani Uchimbuzi wa makaa ya mawe nchini uingereza, hasa katika eneo la Wales ya Kusini ulianza mapema. Kabla ya injini ya mvuke, mashimo yalikuwa mafupi na yalifuata maeneo lenye makaa ya mawe juu ya ardhi, ambayo yaliwacha kutumika kadiri makaa ya mawe yalivyochimbwa. Wakati mwingine, ikiwa jiolojia ilikuwa nzuri, makaa ya mawe yalichimbuliwa kwa kutumia mgodi wa kiaditi au mgodi wa kusonga uliochimbwa katika upnde wa mlima. uchimbuzi wa madini kutoka mashimo yaliyochimbwa ulifanywa katika maeneo kadhaa, lakini kikwazo kilukuwa kuyatoa maji. Ingefanywa kwa kutumia ndoo kuyachota maji kutoka mashimo hayo au kwa “sough” (shimo lililochimbwa katika upande wa mlima ili kutoa mawe yenye madini kutoka kwa mgodi). Kwa kutumia mbinu yoyote ile, maji lazima yangeelekezwa kwa mkondo au chimbuko ambapo yangeweza kutiririka yakitumia mvuto. Kuanzishwa kwa utumizi wa injini ya mvuke kuliwezesha pakubwa kuondoa maji na kuliwezesha mashimo kuchimbwa kwa undani zaidi, na pia kuwezesha makaa ya mawe zaidi kutolewa. Haya yalikuwa maendeleo ambayo yalikuwa yameanza kabla ya Mapinduzi ya Viwandani, lakini yalitumika kwa injini ya mvuke ya James Watt iliyokuwa bora zaidi kuanzia miaka ya 1770 ambapo yalipunguza bei ya kuni ya injini, na kufanya migodi iwe yenye faida zaidi. Uchimbuzi wa makaa ya mawe ulikuwa wa kihatari sana kwa sababu ya kuwepo kwa motonyevunyevu katika maeneo mengi yenye makaa ya mawe ardhini. Usalama kidogo ulipatikana kwa kutumia taa ya usalama iliyovumbuliwa mnamo mwaka wa 1816 na Humphry Davy na kuvumbuliwa na George Stephenson akiwa peke yake. Hata hivyo, taa hizo hazikusaidia sana kwani zilisababisha hatari kwa haraka sana na pia zilitoa mwanga dhaifu. Milipuko ya Motonyevunyevu iliendelea, na kuwezesha wakati mwingine milipuko ya vumbi ya makaa ya mawe, kwa hivyo idadi majeruhi ilizidi kupanda katika kipindi chote cha karne ya kumi na nane. Mazingira ya kikazi yalikuwa mabaya sana, huku kukiwa na visa vingi vya majeruhi kutokana na mawe kuanguka.