Top 10 similar words or synonyms for kurupt

dillinger    0.980026

siedah    0.969500

shit    0.969347

daz    0.969053

bink    0.967082

birthday    0.966584

gotta    0.966477

peedi    0.965474

rated    0.965159

mopreme    0.964536

Top 30 analogous words or synonyms for kurupt

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Still Ballin Remix ya "Still Ballin'" ilifanywa na DJ Fatal ambayo imeshirikisha mistari ya ma-OG zote za Tupac na Kurupt. Mistari miwili ya toleo la awali pia inapatikana kwenye remix ya wimbo wa "How We Do" wa The Game.
Still Ballin "Still Ballin" kilikuwa kibao cha pili kutolewa kama single na Tupac Shakur kutoka katika albamu yake iliyotolewa baada ya kifo chake, Better Dayz. Hii ni sehemu ya pili ya "Str8 Ballin" kutoka katika albamu ya "Thug Life Vol. 1". Imemshirikisha wasanii wawili ambao ni Trick Daddy na Kurupt.
Lord Tariq na Peter Gunz Albamu hiyo ilishirikisha marapa wakubwa kabisa kama vile Big Pun, Fat Joe, Sticky Fingaz, Kurupt na Cam'ron. Lakini kundi halikutoa kibao kingine tangu hapo na badala yake wakatawanyika baada ya muda mfupi. Mtoto wa Peter Gunz, Cory Gunz naye pia ni rapa.
2001 (albamu) Kimsingi ilitayarishwa na Dr. Dre na Mel-Man, na Lord Finesse, na kushirikisha michango kadha wa kadha kutoka kwa marapa wengine kama vile Hittman, Snoop Dogg, Kurupt, Xzibit, Nate Dogg, na Eminem. "2001" inadhihirisha upanuzi katika kuandaa midundo ya G-funk ambayo ina maudhui ya gangsta rap au rap ya kihuni au kisela - kukiwa na utata kama vile vurugu, uimbaji ovyo-ovyo, matumzi ya madawa ya kulevya, masela wa mtaa, na uhalifu.
Make It Reign 'Make It Reign' ni jina la albamu ya kwanza ya marapa wawili wa Kimarekani, Lord Tariq na Peter Gunz. Album ilitolewa mnamo mwaka wa 1998 kupitia studio ya Columbia Records. Albamu imetoa single mbili matata kabisa, iliyopata sifa sana ilikuwa "Deja Vu (Uptown Baby)" na "We Will Ball",ya mwanzoni imeingiziwa na sampuli ya kutoka katika wimbo wa Steely Dan ule wa "Black Cow". Albamu ilitunukiwa platinam na RIAA. Albamu imeshirikisha baadhi ya wasanii kama vile DJ Clark Kent, Sticky Fingaz, Kurupt, Teddy Riley, Cam'ron, Fat Joe, Big Pun na Jermaine Dupri.