Top 10 similar words or synonyms for kurithiwa

fruktosi    0.826470

vishazi    0.818795

doxycycline    0.801443

polipeptidi    0.798063

nditi    0.796784

himosianini    0.794256

azithromycin    0.792670

kidigo    0.788894

paketi    0.786451

selulosi    0.784358

Top 30 analogous words or synonyms for kurithiwa

Article Example
Jimbo Katoliki la Morogoro Kwa mamlaka waliyokabidhiwa kwanza Mitume wa Yesu na kurithiwa kwa sakramenti yadaraja, linazidi kuwachunga waamini washuhudie upendo kati yao na kwa wote, hasa kwa kutumikia wanaohitaji huduma zake mbalimbali za kijamii pia (upande wa afya, elimu, n.k.).
Aina ya damu Aina ya damu (pia huitwa kikundi cha damu) ni uainishaji wa damu kwa kuzingatia kuwepo au kutokuwepo kwa dutu za antijeni za kurithiwa kwenye uso wa chembechembe nyekundu za damu (RBCs).
Sklerosisi ya kimiotrofia ya pembezoni Kisababishi hakijulikani kwa asilimia 90 hadi 95 za visa. Takribani asilimia 5-10 za visa ni vya Kurithiwa kutoka kwa wazazi. Karibu nusu ya visa hivi vya jenetikia hutokana na moja ya jeni mbili maalum. Husababisha kufa kwa nuroni zinazodhibiti misuli ya hiari. Utambuzi hutegemea ishara na dalili za mtu kwa uchunguzi ili kuondoa visababishi vingine vinavyoweza kukisiwa.
Milki ya Gupta Wafalme wa Gupta walifuata Uhindu wakajenga mahekalu mazuri. Uhindu uliona matengenezo na upata nguvu upya. Mfumo wa kupanga wananchi katika varna yaani tabaka za kurithiwa za askari, wafanyabiashara na wakulima uliimarishwa tena. Walivumulia pia dini za Ubuddha na Ujain na kujenga mahekalu yao.
Vitabu vya Samweli Lakini Samweli hakuweza kuleta mabadiliko ya kudumu katika taifa, tena wanawe hawakufaa kumrithi, na watu walidai iingizwe serikali ya kifalme, kama ilivyokuwa katika mataifa ya jirani yao (1 Sam 8:1-5). Baada ya kuimarishwa kwa ufalme sawa sawa, uongozi siku zote ungekabidhiwa au kurithiwa kutoka kwa baba hadi mwanawe (1 Sam 8:19-22).
Skizofrenia Ikichukuliwa kuwa skizofrenia inaweza kurithiwa, swali moja ni, ni kwa nini jeni zinazoongeza uwezekano wa dalili kuu zinaweza kufuka. Kufuka kwa hali kama hii si rahisi kutokea. Nadharia moja inagusia jeni zinazohusika katika kufuka kwa lugha na mienendo ya kizazi. Hata hivyo, nadharia zote zimethibitishwa kuwa za uongo au zisizoweza kutibitishwa.
Jenetikia Jeni hufanana na maeneo ndani ya DNA, molekuli inayoundwa na mlolongo wa aina nne tofauti za nyukleotidi. Mpangilio wa nyukleotidi hizo ndio maelezo ya kijeni ambayo viumbe huyarithi. Kwa kawaida DNA ina umbo la ncha mbili, ambazo kila moja ina nyukleotidi zinazokamilishana. Kila ncha inaweza kutumika kama kiolezo katika uumbaji wa ncha nyingine mpya: hii ndiyo njia halisi ya kutengeneza nakala za jeni ambazo zinaweza kurithiwa.
Upofu Utafiti wa 2008 uliochapishwa katika Jarida Mpya la Tiba la Uingereza (New England Journal of Medicine) ulichunguza athari za kutumia tiba ya jeni kusaidia kurejesha uwezo wa kuona katika wagonjwa walio na aina nadra ya upofu wa kurithiwa, unaojulikana kama Leber Congenital Amaurosis au LCA. Congenital Leber Amaurosis huharibu vipokea mwangaza katika retina na kwa kawaida huanza kuathiri uwezo wa kuona mapema utotoni, na uwezo wa kuona unaoendelea kudhoofika hadi upofu kamili katika umri wa karibu miaka 30.
Biolojia Nadharia ya seli inasema kwamba seli ni kitengo cha msingi cha maisha, na kwamba viumbe vyote hai vimetengenezwa kwa seli moja au zaidi au bidhaa zinazotoka kwenye seli hizo (mfano kauri). Seli zote hutoka kwenye seli nyingine kupitia mtengo wa seli. Katika viumbe vyenye seli nyingi, kila seli katika mwili wa kiumbe hatimaye hutoka kwenye seli moja katika yai lililorutubishwa. Seli pia inazingatiwa kuwa kitengo cha msingi katika taratibu nyingi za patholojia. Zaidi ya hayo, tukio la mtiririko wa nishati hutokea katika seli katika taratibu ambazo ni sehemu ya kazi inayojulikana kama umetaboli. Hatimaye, seli zina maelezo ya kurithiwa(DNA) ambayo hupitishwa kutoka seli hadi seli wakati wa mgawanyiko wa seli.
Zeruzeru Uwezo wa kujenga melanini mwilini hutawaliwa na jeni fulani. Kama jeni zote ianpatikana kwa jozi katika kromosomu za seli. Hali inatokea ya kwamba jeni moja katika jozi hii ni bovu. Tabia hii ni dhaifu, yaani jeni 1 nzima inatosha kuendelea na kutengeneza melanini. Lakini jeni zote mbili zinaingia katika urithi wa watoto wakati wa kuzaa. Mtu huzaliwa na ualbino, ni hali ya kurithiwa kama wazazi wote wawili wana jeni inayoruhusu ualbino. Hii inawezekana hata kama wazazi wote wawili hawaonyeshi dalili za ualbino wenyewe. Tabia hii inaendelea katika familia na inaweza kuonekana mara kwa mara au baada ya kizazi tu. Inategemea na kupatikana kwa jeni husika katika wazazi wote wawili.