Top 10 similar words or synonyms for kumkamata

kumwua    0.856491

scar    0.843006

kutoroka    0.841897

kumshawishi    0.838235

akarejea    0.836706

kumwondoa    0.832677

kumwona    0.828996

aondoke    0.826060

kumpiga    0.824069

kumwacha    0.821615

Top 30 analogous words or synonyms for kumkamata

Article Example
Kayafa Kabla ya hapo alihusika na njama ya kumkamata, na baadaye akahusika na jitihada za kumshinikiza liwali Ponsyo Pilato amsulubishe.
Hernando Cortes Katika hali hii gavana wa Kuba alituma jeshi la askari Wahispania 1200 kwa shabaha ya kumkamata Cortez. Huyu aliposikia habari hizi aliacha wanajeshi 150 mjini Tenochtitlan kwa maagizo ya kumwangalia mfalme na yeye mwenyewe alielekea pwani na askari 250. Katika shambulio la usiku alifaulu kumkamata mkuu wa jeshi hili akawa mfungwa wake. Wanajeshi wake wengi walijiunga na upande wa Cortez aliyewaahidi windo kubwa hasa dhahabu.
Konstantino Mkuu Tangu mwaka 316 Konstatino alianza kugongana na kaisari mwenzake wa mashariki Liceinius baada ya huyu kuonekana anasaidia mipango ya uasi dhidi ya Konstantino. Mwaka 324 alimshinda na kumkamata akawa mtawala wa pekee.
Tenochtitlan Wahispania chini ya Hernan Cortes walifika mwaka 1519 wakaweza kumkamata mfalme Montezuma I wakajaribu kutawala milki kumpitia mfalme. Walipofukuzwa mjini wakarudi 1521 na kwa msaada wa Maindio jirani wa Taxcala walivamia na kuharibu Tenochtitlan.
Elizabeth I wa Uingereza Elizabeth aliamua kumkamata na kumfunga akiendesha utafiti juu ya mashtaka dhidi yake. Mary Stuart alikaa mafungoni kwa kipindi cha miaka 18; mwishowe alishtakiwa kutokana na kushiriki katika mipango ya kumwua Elizabeth akapewa hukumu ya mauti na kuuawa mwaka 1587.