Top 10 similar words or synonyms for kukodiwa

waarawak    0.821643

lilipokelewa    0.820152

walinunua    0.814829

mbendi    0.806911

maafande    0.806750

aneho    0.805488

avril    0.804918

waaja    0.803262

laval    0.802516

royster    0.801474

Top 30 analogous words or synonyms for kukodiwa

Article Example
Vita ya miaka 30 Wanajeshi walikuwa askari wa kukodiwa ambao mara nyingi hawakulipwa bali walipewa uhuru wa kutwaa kwa mabavu chochote walichotaka.
Historia ya Kanisa Wanajeshi walikuwa askari wa kukodiwa ambao mara nyingi hawakulipwa bali walipewa uhuru wa kutwaa kwa mabavu chochote walichotaka.
Michelle Dessler Michelle alipata digrii moja ya Computer Science katika Chuo Kikuu cha California, na akaanza katika Taasisi ya Taifa ya Viwango na Teknolojia, na High Confidence Systems Working Group, kabla ya kukodiwa na tawi la CTU la Los Angeles.
Emil von Zelewski Kazi ya kwanza ya Zelewski kama kamada ilikuwa pia kazi yake ya mwisho. Mwezi wa Julai 1891 aliondoka Dar es Salaam akiongoza kikundi cha kombania 3, jumla maafisa na maafande 13 Wajerumani, askari wa kukodiwa Waafrika 320 na wapagaji 170 waliobeba mizinga mepesi na bunduki za mtombo.
Vita za Misalaba Mwaka 1095 Kaisari Aleksios I wa Bizanti alipanga kuwaondoa tena Waseljuki katika Anatolia kutoka sehemu walizowahi kutwaa miaka michache ya nyuma. Hapa alituma mabalozi kwa Papa Urban II wa Roma kwa kusudi la kupata msaada wa askari wa kukodiwa kutoka Ulaya. Alifanya hivyo miaka 40 baada ya kutokea kwa farakano la mwaka 1054 kati ya makanisa ya Waorthodoksi na Roma, labda kwa tumaini la kuanzisha upya maelewano.
Aleksander Mashuhuri Aleksander alivuka mlangobahari wa Dardaneli katika Mei 334 akiwa na jeshi la askari 35,000 Wamasedonia na Wagiriki. Alimwacha jemadari yake Antipater huko Ugiriki na askari 12,000. Mfalme wa Uajemi alikuwa Darios III aliyesita kumpa jemadari moja mamlaka ya vita akaacha kazi hii kwa makabaila Waajemi katika Asia ndogo. Upande wa Uajemi kulikuwa pia na jemadari Mgiriki Memnon aliyemhudumia mfalme wa Uajemi kama askari wa kukodiwa. Alishauri kutomshambulia Aleksander vikali badala yake kumvuta ndani ya Asia Ndogo na kuharibu akiba zote za chakula anakoenda. Lakini Wakubwa Waajemi walikataa wakatafuta mapigano.
Emil von Zelewski Matendo haya yalisababisha viongozi wa Pangani kukutana wakaamua kumfunga Zelewski ndani ya nyumba yake na bendera ya kampuni ilichomwa. Baada ya siku kadhaa alikombolewa na kikosi cha wanajeshi Wajerumani kutoka manowari. Uasi wa Pangani ulikuwa mwanzo wa harakati kubwa ya upinzani dhidi ya Wajerumani iliyoenea kote kwenye pwani na kuendelea kuwa vita ya Abushiri. Utawala wa kampuni ya Kijerumani iliyokosa jeshi lake uliporomoka haraka; serikali ya Berlin iliamua kuingia kati na kumtuma meja Hermann von Wissmann aliyepewa pesa ya kuajiri wanajeshi wa kukodiwa hasa kutoka Sudan na Afrika Kusini pamoja na maafisa Wajerumani.