Top 10 similar words or synonyms for koppa

resh    0.929778

kisanggau    0.923366

qof    0.921682

kiyasa    0.919910

kimpade    0.918797

kimogum    0.916145

kiramopa    0.915684

kiayerrerenge    0.915413

kimonzombo    0.915404

kisausi    0.915253

Top 30 analogous words or synonyms for koppa

Article Example
Q Wagiriki wa Kale walipokea herufi za Wafinisia na kuziendeleza. Hawakuwa na sauti kama ile "qof" ya kifinisia. Awali waliita herufi hii "koppa" na kuitumia kwa sauti ya "k" kabla ya "o" na "u" lakini baadaye hawakuona faida tena ya kuwa na alama mbili kwa "k" ileile wakafuta koppa.
Alfabeti ya Kigiriki Kila herufi ilikuwa pia na matumizi kama tarakimu ya namba kwa sababu Wagiriki wa Kale hawakuwa na alama za pekee kwa namba. Herufi tatu za kihistoria ambazo hazikutumiwa tena kwa maandishi ziliendelea kama alama za namba, yaani Digamma au Stigma = 6 (alama ϝ au ς), Koppa = 90 (alama ϙ au ϟ) na Sampi = 900 (alama ͳ au ϡ au kama kwenye sanduku).
Q Alfabeti ya Kigiriki ilitumiwa na Waetruski huko Italia wakati "koppa" bado ilikuwemo. Waliendelea kuitumia kwa sauti ya "ku" iliyotokea mara nyingi katikla lugha yao. Waroma wa Kale walipokea hivyo kutoka kwa Waetruski katika Kilatini. Mstari wa chini ukasogea kando jinsi ilivyo hadi leo.