Top 10 similar words or synonyms for kitelugu

kitamil    0.942312

kimurrinh    0.929130

kipardhan    0.925761

kiiban    0.924880

kintcham    0.923280

kimadura    0.921745

kipapora    0.920992

kimalayalam    0.920897

kiriang    0.919447

kikon    0.919071

Top 30 analogous words or synonyms for kitelugu

Article Example
Kitelugu Kitelugu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watelugu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitelugu nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu sabini na tatu milioni na laki nane. Pia kuna wasemaji 600 nchini Singapuri. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitelugu iko katika kundi lake lenyewe la Kitelugu.
Uhindi Kusini mwa Uhindi watu husema lugha za Kidravidi kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam.
Kimanna-Dora Kimanna-Dora ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wamanna-Dora. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimanna-Dora tena kwa vile Wamanna-Dora wote wameacha lugha yao na kutumia Kitelugu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanna-Dora iko katika kundi la Kitelugu.
Kisavara Kisavara ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasavara. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisavara imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisavara iko katika kundi la Kitelugu.
Kiwaddar Kiwaddar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wawaddar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwaddar imehesabiwa kuwa watu 172,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaddar iko katika kundi la Kitelugu.