Top 10 similar words or synonyms for kishazi

tegemezi    0.864044

nomino    0.822598

kirai    0.797895

mofimu    0.792240

sentensi    0.790675

tungo    0.739965

kivumishi    0.723560

nahau    0.708689

kisarufi    0.701071

kitenzi    0.700081

Top 30 analogous words or synonyms for kishazi

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Kishazi tegemezi i/ Hakitoi taarifa kamili. Ili taarifa yake ikamilike ni lazima kiambatane na kishazi huru.
Tungo kishazi Ijapokuwa tungo hii imetawaliwa na kitenzi, lakini kitenzi hicho hakijitoshelezi kimaana hivyo basi hakitoi taarifa kamili.
Kishazi huru Katika mabano juu kuna TS+(-)+T, yaani, hivi TS = kitenzi kisaidizi, (-) = kipashio cha hiari. Kwanini kiwe cha hiari? Tazama hii: "mama alikuwa anataka kwenda kununua samaki". Neno au kirai "kwenda" si lazima kiwepo ndiyo maana ya hiari. Hata kama ingewekuwa: "mama alikuwa anataka kununua samaki" ingeeleweka tu.
Kishazi huru Kishazi huru (alama yake ni: K/Hr) ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachojitosheleza kimaana. Yaani, ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachotoa taarifa kamili.
Tungo kishazi Inatawaliwa na kitenzi ambacho kimejitosheleza kimaana - hivyo basi kimetoa taarifa kamili.
Tungo kishazi Kuna aina kuu mbili za vishazi nazo ni:
Tungo kishazi Kile kinachojitosheleza kimaana - basi hutoa taarifa kamili wakati kile ambacho hakijitoshelezi kimaana hakitoi taarifa kamili. Hivyo basi ni lazima kiambatane na kisha (kitenzi) kingine ndipo taarifa yake ikamilike.
Tungo kishazi Tungo zote mbili, yaani, (i) na (ii) zinatawaliwa na kitenzi.
Kishazi tegemezi Kishazi tegemezi (alama yake ni: K/Teg) ni tungo ambayo inayotawaliwa na kitenzi kisichojitosheleza kimaana. Yaani, ni tungo ambayo hutawaliwa na kitenzi ambao hakitoi taarifa kamili. Kishazi tegemezi hutegemea msaada/lazima kiambatane na kishazi huru ndipo taarifa yake iweze kukamilika.
Kishazi tegemezi ii/Huundwa na urejeshi. Urejeshi huo hufanya kazi ya kutoa taarifa ya ziada kuhusu nomino.