Top 10 similar words or synonyms for kisafirishaji

kipokezi    0.928341

kiunganishi    0.914216

kifaaa    0.895498

kifukofuko    0.884366

kiashiria    0.882124

kichocheo    0.881363

kifuko    0.880325

kiwambo    0.879572

kikwazo    0.872110

kitanda    0.868270

Top 30 analogous words or synonyms for kisafirishaji

Article Example
Amfetamini Amfetamini imeonekana kuwa inaweza kuenea kupitia kwa utando wa seli na pia kusafiri kupitia kisafirishaji cha dopamini (DAT) ili kuongeza viwango vya dopamini katika nyuroni ya muda.
Amfetamini Imepatikana kwamba amfetamini inasababisha athari sawa kwenye serotonini kama zile zinazosababishwa kwenye dopamini. Kama ilivyo na DAT, kisafirishaji serotonini cha SERT kinaweza kufanywa kifanye kazi kinyume kikisisimuliwa na amfetamini. Utaratibu huu hufikiriwa kuwa unategemea vitendo vya ioni za kalisi, na pia kukaribiana kwa visafirishaji fulani vya protini.
Amfetamini Kwa kuunga mkono nadharia-tete iliyoko hapo juu, imepatikana kwamba vizuizi vya PKC-β huondoa madhara ya amfetamini kwenye viwango vya dopamine iliyo nje ya seli katika striatamu ya panya. Data hii inapendekeza kuwa kinasi ya PKC-β inaweza kuwakilisha ncha muhimu ya mawasiliano kati ya amfetamini na kisafirishaji cha DAT.
Amfetamini Amfetamini pamoja na vichangamsha vingine vya aina ya amfetamini kwa msingi huachilia dopamini katika ufa wa sinepsi. Amfetamini, tofauti na kokeni ambayo ni aina ya kichangamshi kama dopamini, haifanyi kazi kama ligandi lakini hufyonya upya pole pole kupitia utaratibu wa pili kwa kuongeza fosforasi kwenye visafirishaji vya dopamini. Kitendo msingi ni kupitia kuongezeka kwa viwango vya amfetamini ambako hutoa kutolewa kwa dipamini iliyowekwa mwilini kutoka kwenye visafirishaji vya lengelenge vya monoamini (VMATs), na hivyo kuongeza viwango vya transmita ndani ya nyuroni. Ongezeko hili la ukolezi hugeuza usafirishaji wa dopamini kupitia kisafirishaji dopamini (DAT) kwenye sinepsi. Aidha, amfetamini hujifunga, kwa kugeuza, kwa DATs na kuziba uwezo wa kisafirishaji hiki kuondoa DA kutoka kwenye nafasi iliyo kwenye sinepsi. Amfetamine pia hufanya hivi na norepinefrini (noradrenalini) na kwa kisai kidogo serotonini.
Amfetamini Nadharia tete ya kwanza imeungwa mkono na data kuonyesha kwamba sindano za amfetamini husababisha kuongezeka kwa haraka kwa ukolezi wa dopamini iliyo kwenye majiplazimu. N Amfetamini inaaminiwa kuingiliana na vilengelenge vya sinepsi wenye dopamini katika mkongo wa nchani. Amfetamini ni sabstreti kwa kisafirishaji maalum cha kuingiza kilengelenge cha sinepsi cha kiniuroni kiitwacho VMAT2. Wakati amfetamini imefyonzwa na VMAT2, kilengelenge hiki hutoa molekuli za dopamini katika majiplazimu. Kisha Dopamini inayosambazwa tena huaminika kuwa huingiliana na DAT kuendeleza usafirishaji wa kinyume. Huenda ikawa kalisi ni molekuli muhimu inayohusika na maingiliano kati ya amfetamini na VMATs.