Top 10 similar words or synonyms for kiraitu

murungi    0.935266

ngala    0.928064

oburu    0.928008

maitha    0.923028

sdp    0.920496

otieno    0.916600

cherono    0.915472

ochieng    0.914285

dp    0.913439

gideon    0.913196

Top 30 analogous words or synonyms for kiraitu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Kiraitu Murungi Murungi awali alisisitiza kuwa kamwe hakutaka kujiuzulu kutoka kiti chake cha Waziri licha ya madai ya rushwa. Yeye alidai kwamba hana hatia na kuwa ripoti ya Githongo ni propaganda tu. Juu ya kurekodi, yeye alitoa maoni ya kuwa: "Nimeyasikiliza madai ya kanda ya ushahidi . Ni njia ya mkato, haisikiki, haitoshi na haikubaliki kuunda ushahidi unaoaminika kwa madai yaliopangwa na Bw. Githongo "
Kiraitu Murungi Katika mwaka wa 2006, 8 FebruariShirika la Utangazaji la BBC ilitoa mazungumzo kati ya Mweshimiwa Murungi na Katibu wa zamani wa Utawala Bora na MaadiliBw.John Githongo ambapo inaonekana kuwa anajaribu kumwambia Bw. Githongo kuachana na uchunguzi wake juu ya kashfa ya "Anglo Leasing". Yeye aliahidi kwamba Anura Pereira atasamehe madeni ya KES milioni 30 ambazo zilikuwa zinadaiwa babake Githongo.
Kiraitu Murungi Tarehe 15 Novemba 2006 alirudishwa kazini kama Waziri wa Kawi na Rais Kibaki. Yeye alibakia katika nafasi hiyo katika baraza la mawaziri walioteuliwa na Rais Kibaki Tarehe 8 Januari 2008 kufuatia utata wa uchaguzi wa Desemba 2007.
Kiraitu Murungi Murungi alizaliwa mjini Meru. Yeye alisomea shule za Upili Chuka High School na Alliance High School, kisha akatoka katika Chuo Kikuu cha Nairobi na kufuzu kama shahada ya Sheria mwaka wa 1977 na kama Mwalimu wa Sheria mwaka wa 1982. Yeye baadaye akapata Uwalimu wa Sheria katika Chuo Cha Sheria Cha Harvard mwaka wa 1991.
Kiraitu Murungi Yeye ni mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Kenya Mwai Kibaki. Amekuwa akishutuhumiwa kwa majaribio ya kufunika katika kashfa ya "Anglo Leasing" , ambayo yeye alidai kuwa ni kashfa ambayo haikuwahi kuwa".
Kiraitu Murungi Kiraitu Murungi (alizaliwa 1 Januari 1952) ni mwanasiasa nchini Kenya. Alituhumiwa kuhusika katika kashfa ya Anglo leasing.
Kiraitu Murungi Tarehe 10 Februari 2006, Murungi alitoa taarifa ambayo ilichapishwa na kutumwa kwa vyombo vyote vya habari nchini Kenya ikihoji nia na madhumuni ya John Githongo, katika maswali thelathini na sita. Kati ya maswali ambayo aliuliza ni kwa nini John Githongo alikuwa ananasa mazungumzo yake na maafisa wa Serikali na kama alikuwa mpelelezi wa mataifa ya kigeni.
Kiraitu Murungi Murungi amekuwa Mbunge tangu mwaka wa 1992 na hapo awali aliwahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Mwanasheria Mkuu(wakilishi). Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2002 nchini Kenyaalishinda Kiti cha mbunge Imenti Kusini kutoka chama cha [["National Rainbow Coalition"]] (NARC) . Baada ya serikali kushindwa katika mwaka wa 2005, 21 Novemba katika kura ya maoni kikatiba, aliteuliwa kuwa Waziri wa Kawi.
Kiraitu Murungi Katika mwaka wa 2005 Februari, Murungi aliomba msamaha kwa kutoa matamshi ambayo yaliyokaguliwa kuwa yanaenezaubakaji na rushwa. Yeye alikuwa amesema kuwa ukaguzi kutoka kwa wahisani wa misaada ya rushwa nchini Kenya ilikuwa "ni kama kubaka mwanamke ambaye ako tayari"
Kiraitu Murungi Tarehe 14 Februari 2006, siku baada yake kujiuzulu, Murungi alidai kuwa yeye hakuhusika kwa kufunika kashfa ya Anglo Leasing. Yeye alilaumu shida zilizomo kisiasa katika chama chaNational Rainbow Coalition (NARC) na vyombo vya habari. Hata hivyo, baadaye iliibuka kwamba Rais Mwai Kibaki alimuuliza ajiuzulu kutoka kwa Serikali.