Top 10 similar words or synonyms for kimwerlap

kikube    0.935201

kikaningra    0.933381

kimagori    0.930424

kihinduri    0.928613

kilangam    0.927789

kinimi    0.927663

kitetun    0.923756

kibusoa    0.920829

kitomo    0.920246

kiagarabi    0.918790

Top 30 analogous words or synonyms for kimwerlap

Article Example
Kimwerlap Kimwerlap (au Kimerlav) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamwerlap kwenye visiwa vya Mere Lava na Merig. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimwerlap imehesabiwa kuwa watu 1350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimwerlap iko katika kundi la Kioseaniki.
Merig Merig ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Gaua. Eneo la kisiwa ni chini ya 1 km². Kuna familia moja kisiwani tu, na mwaka wa 2009 walihesabiwa kuwa watu 12. Hawa huongea Kimwerlap, lugha ya kisiwa cha jirani cha Mere Lava.
Mere Lava Mere Lava ni kisiwa cha Vanuatu, kimojawapo cha Visiwa vya Banks. Kiko upande wa kaskazini wa kisiwa cha Maewo. Eneo la kisiwa ni 18 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tamate. Mwaka wa 2009 walihesabiwa kuwa watu 650. Hawa wote huongea Kimwerlap.