Top 10 similar words or synonyms for kimende

sissano    0.979677

kikowaki    0.977106

kisengseng    0.975867

kielkei    0.975729

kioro    0.974745

kigaam    0.974150

kitobanga    0.973986

kiiceve    0.973970

nyo    0.973278

kimiyobe    0.973000

Top 30 analogous words or synonyms for kimende

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Kimende Kimende ni jina la lugha mbalimbali, k.m.
Kimende (Papua) Kimende (au Kiseim) ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamende. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimende imehesabiwa kuwa watu 5700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimende iko katika kundi la Kinukuma.
Kimende (Sierra Leone) Kimende ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone na Liberia inayozungumzwa na Wamende. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimende nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Pia kuna wasemaji 19,700 nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimende iko katika kundi la Kimande.
Lugha za Kimande Lugha za kimande zinatengeneza kundi la lugha ambazo zinazungumzwa katika nchi nyingi ya Afrika ya Magharabi, kati ya Gambia na Nijeria. Wasemaji wa lugha hizo wanazidi milioni thelathini. Lugha zinamo kundi hilo ni Kimandinka, Kisoni, Kibambara, Kibissa, Kijula, Kikagoro, Kibozo, Kimende, Kisusu, Kiyakuba, Kivai, na Kiligbi.