Top 10 similar words or synonyms for kimaksudi

yanayodaiwa    0.826079

kizigua    0.805346

signature    0.804332

kubarikiwa    0.797195

posho    0.792804

ἐν    0.791384

kushirikishana    0.789797

gladiator    0.788284

kidaonda    0.787697

mkarafuu    0.786277

Top 30 analogous words or synonyms for kimaksudi

Article Example
Utegemezi wa dawa za kulevya ""Hisia kwamivu (mtazamo) inayopatikana kwa kujifunza, ambayo hudhihirika wakati mwingine au daima kupitia tabia za kimaksudi, za kudhanika kwa mienendo na misukumo ya nguvu za asili, zinzzolenga uridhikaji maalum au kujiepusha na usumbufu fulani maalum"." ""
Sosholojia ya elimu Kwa upana zaidi, elimu ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa kimaksudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine.
Kingamwili Kinga tendi ya kimaumbile hutokea wakati mtu anafichuliwa kwa kisababishi magonjwa hai, na anakuza mwitikio wa msingi wa kinga, unaosababisha kumbukumbu ya kinga. Aina hii ya kinga ni ya "kimaumbile" kwa sababu haisababishwi na dhihiriko la kimaksudi. Matatizo mengi ya kazi ya mfumo wa kinga yanaweza kuathiri uumbaji wa kinga tendi kama vile ukosefu wa kinga mwilini (inayopatikana na ya kuzaliwa) na uzuiaji wa mwitikio wa kingamwili.
Jeraha la moto Kumchoma bi harusi, ni njia ya unyanyasaji wa kinyumbani, hutokea katika baadhi za tamaduni kama vile nchini India ambapo mwanamke huchomwa ikiwa bwana au familia yake haina mahari ya kutosha. Nchini Pakistan, kuchomwa na asidi inawakilisha asilimia 13 ya majeraha ya moto ya kimaksudi, na mara kwa mara inahusu vita vya kinyumbani. Kujiua (kujichoma kwa moto kama njia ya kulalamika) ni kawaida pia kwa wanawake wa India.
Utakaso wa kikabila Utakaso wa kikabila ni maneno ambayo yamekuja kutumika kwa upana kuashiria aina zote za fujo zinazohusisha ukabila, kuanzia mauaji, ubakaji na mateso na hata kuhamisha wakazi kwa lazima. Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 1993 ilifafanua utakaso wa kikabila kwa ufasaha kama, "kupangwa kimaksudi kuwatoa kutoka eneo fulani, watu wa kabila fulani, kwa kutumia nguvu au kwa kuwaogofya, ili kufanya eneo hilo liwe na kabila moja tu."
Vidonge vya kupanga uzazi vilivyochanganywa Norethinodreli (na norethindroni) hatimaye ziligunduliwa kuwa zimechafuliwa na asilimia ndogo ya estrojeni mestranoli (aina ya kati katika usanisi wake), na norethinodreli iliyokuwa katika utafiti wa Rock wa 1954-5 ikiwa na asilimia 4-7 ya mestranoli. Wakati usafishaji zaidi wa norethinodreli ili kuwa na kiwango cha chini ya asilimia 1 cha mestranoli kuliongeza kutoka kwa damu kusikotarajiwa, uamuzi ulifanywa wa kuweka asilimia 2.2 ya mestranoli kimaksudi, asilimia ambayo haikuhusishwa na kutoka damu kusikotarajiwa, katika majaribio ya kwanza ya vidonge vya upangaji uzazi katika wanawake katika mwaka wa 1956. Mchanganyiko wa norethinodreli na mestranoli ulipewa jina la kipekee la "Enovid."