Top 10 similar words or synonyms for kikeninjal

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for kikeninjal

Article Example
Kikeninjal Kikeninjal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakeninjal kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikeninjal imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeninjal iko katika kundi la Kimalayiki.