Top 10 similar words or synonyms for kifini

kiugori    0.858502

kiurdu    0.852176

kiukraine    0.829429

kilatvia    0.818696

kislovakia    0.806840

kihungaria    0.806011

kihindustani    0.805645

kibelarus    0.796747

kipoland    0.792191

kicheki    0.789225

Top 30 analogous words or synonyms for kifini

Article Example
Kifini Kifini (kwa kifini: "Suomi") ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Ufini, Urusi na Uswidi inayozungumzwa na Wafini. Ni lugha rasmi nchini Ufini. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kifini nchini Ufini imehesabiwa kuwa watu milioni 5.1. Pia kuna wasemaji 201,000 nchini Uswidi (2009) na 38,900 nchini Urusi (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifini iko katika kundi la Kifini.
Wikipedia ya Kifini Wikipedia ya Kifini ni tole la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kifini. Kwa hesabu ya makala, hii ni Wikipedia ya 13 kwa ukubwa na wingi wa makala zaidi ya 199,000, zilizofikishwa mnamo tar. 3 Aprili 2009.
Wikipedia ya Kifini Mradi wa Wikipedia ya Kifini, ulianzishwa mwishoni mwa mwaka wa 2002, lakini ilibaki na ngazi iliododa hadi hapo ilipofika mwaka wa 2003. Kasi ya kukuza mradi huu iliongozeka baada ya kubadilishwa kwa bidhaa pepe ya MediaWiki kuwa katika hali ya III na hiyo ilikuwa mwishoni mwa mwezi Novemba 2003, na ikaendelea kuongezeka hadi kunako mwaka wa 2004.
Lugha za Kifini-Kiugori Lugha za Kifini-Kiugori ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa barani Ulaya hasa upande wa Kaskazini-Mashariki. Lugha zizungumzwazo kama lugha rasmi nchini mwake ni Kifini, Kihungaria na Kiestonia. Lugha za Kifini-Kiugori ni tawi moja la lugha za Kiurali pamoja na lugha za Kisamoyedi.
Ufini Lugha rasmi ni Kifini na Kiswidi. Lugha ya Kifini ina asili ya Asia ya kati, haina uhusiano na lugha za Kihindi-Kiulaya.