Top 10 similar words or synonyms for kibayolojia

zinazofanana    0.877127

changamano    0.850545

koli    0.846924

homoni    0.845037

nywila    0.842987

kemikali    0.825951

zinazoweza    0.823117

amfetamini    0.822000

zinazotumika    0.818711

kampaundi    0.816192

Top 30 analogous words or synonyms for kibayolojia

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Taaluma ya udaktari na bayolojia Zinazojitokeza kwa upya katika matawi ya kisayansi, kama vile mifumo ya kibayolojia,wanaomba vifaya vya kurekebisha zana za kijadi zilizotumika katika uhandisi, kama vile mifumo ya miundo na uchambuzi, katika maelezo ya mifumo kibayolojia.
Tiba asilia ya homoni Chama cha Endokrini kilitoa taarifa ya msimamo kuwa homoni zinazofanana kibayolojia kimsingi huwa na hatari na faida sawa na molekuli zisizofanana kibayolojia. Chuo cha Marekani ya Madaktari wa Uzazi na Wanajikolojia mnamo Februari 2009 walirudia msimamo wao kutoka Novemba 2005 kuwa hakuna faida za kuthibitika kuhusu usalama au ufanisi wa homoni zinazofanana kibayolojia zilizochanganywa, wala hakuna faida yoyote katika kupima viwango vya homoni katika mate au kupewa dozi ya homoni ya mtu binafsi. Kliniki ya Mayo inasema kwamba hakuna ushahidi kuonyesha kwamba michanganyiko ya famasia ya BRHT ni salama zaidi kuliko homoni badala za kawaida, na kwamba baadhi ya homoni zinazofanana kibayolojia tayari zinapatikana katika bidhaa fulani zilizopitishwa na FDA. Ushirika wa Saratani wa Marekani pia ulisema kuwa homoni "asilia" na "zinazofanana kibayolojia" husababisha hatari sawa kama tiba badala ya homoni zilizosanisiwa, kama vile ugonjwa wa moyo, kuganda kwa damu, kiharusi na kuongezeka kwa hatari ya kansa ya matiti ikitumiwa kwa muda mrefu.
Tiba asilia ya homoni Katika 2006 mwigizaji Suzanne Somers alitoa kitabu "Kutozeeka: Ukweli mtupu Kuhusu homoni zinazofanana kibayolojia," ambacho kilipendekeza matumizi ya homoni zinazofanana kibayolojia. Kitabu kilikosolewa na kundi la madaktari ambao, ingawa kwa ujumla wanaunga mkono matumizi ya homoni zinazofanana kibayolojia, wanasema kuwa utafiti zaidi unahitajika, na wanapinga itifaki zilizotajwa katika Kitabu kwa misingi ya uwezekano wa kuwa na hatari, vile vile kukosa kufuzu kwa wadhamini. Kitabu cha Somers kinaweza kuwa kiliinua umaarufu wa BHRT kwa idadi inayokua ya wanawake waliomaliza hedhi, lakini pia kinaweza kusababisha kuchanganyikiwa kwa kutoa madai yasiyokuwa na msingi juu BHRT, na kwa kuzungumzia homoni zinazofanana kibayolojia kama bidhaa zisizo za dawa na zenye hatari chache. Homoni zinazofanana kibayolojia pia zimejadiliwa katika "Onyesho la Oprah Winfrey," na Somers kama mgeni.
Tiba asilia ya homoni Katika Novemba 2006, Ushirika wa Utabibu wa Marekani ulichukua sera iliyomba kwamba FDA ifuatilie na kusimamia homoni zinazofanana kibayolojia vizuri zaidi, ilitoa uhariri uliosema kuwa molekuli za homoni zilizofanana kibayolojia na zilizochanganywa zilitarajiwa kuwa na hatari sawa na homoni ya kawaida mpaka idhibitishwe vingine.
Tiba asilia ya homoni Homoni zinazofanana kibayolojia zinatarajiwa kuwa na hatari na faida sawa na zile sawia zisizofanana, lakini kumekuwa hakuna utafiti wa kulinganisha moja kwa moja homoni zinazofanana kibayolojia na zile sawia zisizofanana. Homoni kama zinavyotumika katika CHRT zimetafitiwa kwa miaka mingi na hatari zake, faida, na profaili ya ufanisi inajulikana na imeonyeshwa kutokana na miaka ya utafiti.
Tiba asilia ya homoni Kuna aina mbalimbali ya bidhaa zilizopitishwa na FDA zilizotengezwa kwa kutumia estrojeni zinazofanana kibayolojia na projesteroni iliyopun, kutumika kutibu dalili za wanakuwa wamemaliza kuzaa:
Tiba asilia ya homoni Katika Novemba 2006, na Shirika la Utabibu la Marekani lilichukua sera inayolitaka Shirika la Utawala wa Chakula na Dawa kutafiti bidhaa za BHRT zilizochanganywa kwa usafi na vipimo: kudumisha Usajili na hitaji ya lazima ya kuripoti matukio mabaya na wazalishaji na maduka ya dawa yaliyochanganywa kuhusiana na homoni zinazofanana kibayolojia, kutoa mamlaka kwa ushirikishwaji wa habari ikiwa ni pamoja na maonyo na tahadhari kuhusu bidhaa zinazofanana kibayolojia, na kupiga marufuku matumizi ya neno "homoni zinazofanana kibayolojia" isipokuwa zile zilizo na kibali cha shirika hilo.
Taaluma ya udaktari na bayolojia Taaluma ya udaktari, kwa sehemu, inatafiti kazi ya mwili wa binadamu. Mwili wa binadamu, kama mashine ya kibayolojia, una kazi nyingi ambazo zinaweza kutengenezwa kutumia mbinu za Uhandisi.
Tiba asilia ya homoni Watetezi wa BHRT wamedai kwamba maandalizi ya michanganyiko ya BHRT ya kawaida haipatikani kibiashara, ambayo ni ya uongo kwani kuna maandalizi ya homoni iliyopitishwa na FDA ambayo ina molekuli zinazofanana kibayolojia ambayo inapatikana za miliki na za mwigo (isipokuwa estrioli, inayotumika katika maandalizi ya yanayofanana kibayolojia triest na biest, katika 2008 FDA ilipiga marufuku mpaka Maombi mapya ya dawa yakamilike; maandalizi haya hayajaidhinishwa na aidha FDA, au Afya Kanada). Baadhi ya watetezi wa kuchanganya pia wametoa madai ya uongo kudai kuchanganya kulingana na mahitaji yakibinafsi kunatoa matokeo bora zaidi madai ambayo si sahihi kwa vile lengo lake ni kutoa kiwango kimoja cha homoni na viwango vya damu au mate kamili, ambayo haijawahi kuonyeshwa kuwa bora kuliko CHRT na haizingatii viwango ambavyo watu hutofautiana katika shughuli, metaboli na na utoaji wa homoni mwilini. Hakujakuwa na kesi za majaribio ya kliniki kulinganisha moja kwa moja utendaji au ufanisi wa misombo inayofanana kibayolojia dhidi ya misombo isiyofanana kibayolojia.
Tiba asilia ya homoni Makala 2010 yaliyochapishwa katika "Barua ya Kimatibabu juu ya dawa na Tiba" ilihitimisha "Hakuna ushahidi wakukubaliwa kuwa homoni 'zinazofanana kibayolojia' ni salama au bora. Lazima wagonjwa wakatazwe kuzitumia".