Top 10 similar words or synonyms for jojo

ci    0.939719

fergie    0.938266

dramacydal    0.936630

siedah    0.936503

imeremixiwa    0.935198

stretch    0.932707

havoc    0.932382

umeimbwa    0.931415

pharrell    0.930675

kurupt    0.928049

Top 30 analogous words or synonyms for jojo

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
K-Ci na Jojo Akiwa ana miaka 16 Devante Swing alisafiri kwenda Minneapolis. Alipofika huko hakuwa mbali sana na masuala ya kimuziki hivyo akaamua kujiunga na Prince Organization, moja kati ya wanamuziki wa pop wa Marekani. Pamoja na kujiunga Prince Organization, Devante Swing hakufaulu kimuziki kama alivyokuwa anategemea.
K-Ci na Jojo K-Ci na Jojo ni kundi la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, wakiwa ndugu kati ya Cedric Hailey (K-Ci Hailey aliz. 1969) na Joel Hailey (Jojo Hailey aliz. 1971). Wote wawili ni wazaliwa wa Charlotte, North Carolina, Marekani.
Pia walikuwa wanachama wa kundi la zamani la muziki wa R&B na Soul "Jodeci" na Ndugu wengine wawili ambao ni Donald Degrate (Devante Swing) na Dalvin Degrate (Mr. Dalvin) kwa pamoja wanaunda kundi la Jodeci.
K-Ci na Jojo Wakiwa bado wadogo K-Ci na Jojo walikuwa waimbaji wa kwaya katika kanisa la Pentekoste, wakawa wanafanya matamasha mbali huku na kule.
K-Ci na Jojo Wakiwa katika baadhi ya matamasha wakutana na Devante Swing pamoja na kaka yake Mr. Dalvin Degrate, wakakaa pamoja na kujadilia kuunda kundi la muziki ambalo ndio linaloitwa Jodeci.
K-Ci na Jojo Siku moja wakiwa wanauza kanda za redio alipita msanii mmoja mkubwa (Heavy D) akazitia mkononi zile kanda na kuzipitisha katika Studio ya Uptown Records chini ya mmiliki wa Studio hiyo bwana Andre Harrell, ambaye ndiye aliyefanya maandalizi ya kuingia nao makataba wa kurekodi albamu, ndio hapo walipoanza muziki rasmi na kujiita Jodeci.
K-Ci na Jojo Baadae akamtaka K-Ci na Jojo kujiunga nae huko New York katika duka fulani alilokuwa anafanya kazi ya kuuza kanda, ambalo zilikuwemo pia moja kati ya kazi alizofanya za muziki.
Tell Me It's Real "Tell Me It's Real" ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na waimbaji wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, K-Ci & JoJo. Kibao hiki kilitayarishwa kwa ajili ya albamu ya pili ya K-Ci & JoJo, "It's Real (1999).
How Do U Want It "How Do U Want It" ni wimbo wa 2Pac akishirikiana na K-Ci na JoJo na ulikuwa single ya tatu kutoka albamu ya "All Eyez on Me". Ilikuwa Double A-side single kwenye "California Love", na wimbo umefikia nafasi ya #1 nchini Marekani kwenye chati za Billboard Hot 100 mnamo 1996. Nchini Uingereza, wimbo umefikia nafasi ya #17.
Wamatengo Anaimbiwa nyimbo za mafunzo kama huu usemao: na jwakakema ndongu jojo, gwitamaa pahe wakiwa na maana utakapoitwa na mumeo itika kwa adabu. Hupewa zawadi na wale waliofika kumpokea na hufanya sikukuu kubwa ya watu kula na kunywa. Pia wavulana wanapopevuka hukaa kwenye mabweni tofauti yanayoitwa mabwalu ambako husimuliana hadithi na kucheza michezo kama mbila, kinyita, nzengu na unyilii.
Nu-Mixx Klazzics Nu-Mixx Klazzics ni remix albamu ya hayati 2Pac, ilitolewa mnamo mwaka wa 2003 kupitia studio ya Death Row Records. Albamu lina nyimbo kadhaa kutoka kwenye "All Eyez on Me", ikiwa na nyimbo saidizi kadhaa na sauti za wasanii wapya waalikwa kama vile Aaron Hall, K-Ci na JoJo, na Tha Outlawz. "Nu Mixx Klazzics" ilitolewa macho na watahakiki wakati wa kutolewa kwake . Maremixi yalipondwa na watahakiki kwa kuwa toleo lingine la Death Row la kutaka fedha za haraka kwa kuchukua matoleo halisi ya nyimbo za awali. Hakuna wala video zilizotolea kwenye mradi huu. Albamu imeuza kiasi cha nakala 75,000 tu, basi.