Top 10 similar words or synonyms for jkt

nak    0.824883

sadc    0.813049

sher    0.812275

kilonzo    0.807767

bakili    0.804343

igawilo    0.804255

omary    0.801384

nassir    0.799985

njeru    0.796926

mwakyembe    0.795269

Top 30 analogous words or synonyms for jkt

Article Example
Kifupi Vifupisho vimekuwa pia kawaida kutaja vitengo vya serikali kama "JKT" (jeshi la kujenga taifa), kampuni kama "SMP" (Southern Paper Mills) au vyama vya kisiasa kama "CCM" (Chama cha Mapinduzi).
Chedieli Yohane Mgonja 1967 -- 68 Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi ( Mambo ya Nje ). Waziri wa kwanza kujiunga na mafunzo ya JKT. Baadaye kuendelea na mafunzo ya mgambo. Waziri aliyetoa tamko la serikali ya Tanzania kuitambua Jamhuri ya watu wa Biafra.
Mafumu Bilali Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Bombenga aliyesoma shule moja ya sekondari na mbunge wa Tabora, Ismail Aden Rage, anasema kuwa 1972 alijiunga na JKT kwa mujibu wa sheria ya enzi hizo, alikojifunza kuimba na kupuliza Saxophone.
Kassim Mapili Baada ya hapo ndipo Kassim Mapili akatua katika jiji la Dar es Salaam na kujiunga na Kilwa Jazz Band iliyokuwa ikiongozwa na Ahmed Kipande. Kama ilivyokuwa sera ya wakati ule ya kuanzisha vikundi vya sanaa katika sehemu za kazi, majeshi yetu pia yalianzisha bendi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nalo likaanzisha bendi na Mzee Mapili alikuwa mmoja ya waanzilishi wa bendi ya JKT Kimbunga Stereo mwaka 1965. Polisi nao kama majeshi mengine nayo pia ikaanzisha bendi na Mzee Mapili akajiunga na Police Jazz Band, 15 Desemba 1965. Mzee Mapili ndiye aliyekuwa mwalimu wa bendi ya kwanza ya wanawake nchini Women Jazz Band iliyoanzishwa mwishoni mwa mwaka 1965.
Bi. Shakila Kwa kuwa kundi lilianzishwa wakati Bi Shakila alikuwa mja mzito, mtoto aliyezaliwa alimuita Lucky kwa ajili ya tukio hilo. Nyimbo nyingi zinazofahamika hadi leo za Bi Shakila zilirekodiwa wakati yuko kundi hili. Mapenzi Yamepungua, Kifo cha Mahaba, Macho Yanacheka. Bi Shakila aliendelea na kundi hili hadi mwaka 1984, Baada ya kifo cha mumewe alipumzika kwa muda kasha akahamia Dar es Salaam ambapo alijiunga na kundi la JKT alilodumu nalo mpaka alipostaafu.
Yemi Osinbajo Yemi Osinbajo alisoma ngazi ya msingi kwake Lagos na 1969–1975 alikuwa kwenye shule ya sekondari ya Igbobi College Yaba, Lagos, Nigeria. 1975–1978 alianza masomo ya sheria kwenye Chuo Kikuu cha Lagos hadi kufikia digrii ya kwanza. Halafu akashiriki katika utumishi wa vijana kwa umma (kama JKT ya Tanzania) kulingana na sheria ya Nigeria alipokuwa mshauri wa kisheria katika mkoa wa Bondel. Kutoka hapo aliendelea kusoma Uingereza kwenye London School of Economics alipopata digrii ya pili ya sheria mwaka 1981.
David Mathayo David Matayo David Msuya alisoma Tosamaganga Iringa, alifanya CBG (1989-91) aliishi bweni la Mwenge. Uwezo wake wa kimasomo haukuwa mkubwa ila alishangaza wenzanke na waalimu alipopata daraja la kwanza kwa pointi 7. Alipata msaada sana kutoka kwa kaka yake aliyekuwa akifundisha chuo cha ualimu Mkwawa, Iringa. Matayo ulikwenda JKT itende, Mbeya. Baada ya hapo, alichanguliwa kwenda kusoma Makerere Uganda kwa kupitia mfuko wa mwalimu Nyerere. Mathayo alinufaika kwa fedha hizo ila hakwenda Uganda, akaamua kusoma SUA ya tiba ya mifugo (Bachelor of Veterinary Medicine) mwaka 1993-1997. Huko SUA Matayo alikuwa ni mwanafunzi pekee aliyekuwa na radio yenye double deck, (system) na TV set. Uwezo wa kifedha ulisaidia kumpa Mathayo maisha ya kifahari chuoni SUA ambapo alikuwa na wasichana kadhaa ikiwa ni pamoja na Mugros na Betty Manase