Top 10 similar words or synonyms for jazzy

siedah    0.973378

pharrell    0.969268

crusher    0.965199

pha    0.964859

imeremixiwa    0.963913

nandash    0.963414

bink    0.962623

chorus    0.962606

olivia    0.962227

kurupt    0.962052

Top 30 analogous words or synonyms for jazzy

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Rock the Bells Eminem, DJ Jazzy Jeff na The Roots waliuimba wimbo huu wa “Rock The Bells” kwenye VH1 Hip Hop Honors ikiwa kama kuonyesha shukrani kwa Def Jam.
D'banj Kama heshima kwa mshauri wake, Fela, D'banj alirudisha muziki aina ya Afrobeat katika karne ya 21 vilevile akiitia dawa nzuri ya ucheshi. Nyimbo yake zina msingi ya maisha yake, mara nyingi huchekesha lakini pia zina maana ya ndani ambayo huashiria mapambano ya vijana wa Afrika kujaribu kufikia ndoto zao. Yeye huimba katika Yoruba, Kiingereza na Kiingereza aina ya Pidgin . Albamu zake zote zimetayarishwa na Don Jazzy na yeye mwenyewe.
D'banj Alikuwa pia akishiriki katika mojawapo ya sherehe zilizo tarajiwa zaidi 'Koko Concert'. Sherehe hii ilikuwa na D'Banj, Don Jazzy, Dr SID, Wande Coal, D'Prince, na Mo Hits Ikechukwu pamoja na wasanii kama May7ven na mchekeshi Tunde Ednut. Ukumbi uliandaliwa kwa usiku wa kutumbuiza - athari za Koko zilionekana wazi jijini London kwani mashabiki wa D'banj na Mo'Hits walijaza uwanja huo kabisa. Kama ilivyotarajiwa, nyimbo zuri ziliimbwa na kasi na shauku ya mashabiki ilidumishwa na wasanii wenyewe jukwaani.
Will Smith Smith, ni Mwafrika-Mwamerika, alizaliwa na kukulia mjini West Philadelphia na Germantown huko Northwest Philadelphia. Mama yake, Caroline, alikuwa msimamizi wa shule ambaye alifanya kazi kama msimamizi wa bodi ya shule Philadelphia, na baba yake, Willard Christopher Smith, Sr., alikuwa mhandisi wa majokofu. Kiimani, alilelewa Kibaptist. Wazazi wake walitengana akiwa na umri wa miaka kumi na tatu na kuja kupeana talaka rasmi akiwa na umri wa miaka thelathini na mbili. Ucheshi wa Smiths na jinsi anavyoonekana akiwa shuleni, wakampa jina la utani kama "Prince", ambalo hatumaye likaja kugeuka na kuwa "Fresh Prince". Wakati yuujanani mwake, Smith akaanza kurao na hatimaye akaanza kushirikiana na Jeff Townes (a.k.a. DJ Jazzy Jeff), ambaye alikutana naye kwenye sherehe moja hivi. Akanza kuhudhuria kwenye shule ya Overbrook High School ya mjini West Philadelphia. DJ Jazzy Jeff & The Fresh Prince ilizaliwa na Smith huku yeye akiimba mistari wakati Townes anashughurikia suala zima la kusugua na kuchanganya midundo—mwungano huo ulikuwa gumzo sana kwenye nyanja za muziki wa hip hop hasa katika miaka ya 1980 na mwazoni mwa 1990.