Top 10 similar words or synonyms for jammu

hatta    0.870057

kitgum    0.865495

selangor    0.863558

kwara    0.861489

bernese    0.860541

meerut    0.859619

gujarat    0.858992

amritsar    0.858696

mpapa    0.857760

mysore    0.857470

Top 30 analogous words or synonyms for jammu

Article Example
Kashmir Hadi 1947 sehemu zote za Kashmir zilikuwa eneo la dola la maharaja wa "Jammu na Kashmir". Alitawala chini ya ulinzi wa Uingereza.
Maharaja Kati ya maharaja waliotawala maeneo makubwa walikuwa wale wa Mysore na wa Jammu na Kashmir. Mtawala wa dola kubwa kabisa la kujitawala hakutumia cheo cha maharaja alikuwa Nizam wa Hyderabad.
Punjab (Uhindi) Imepakana na jimbo la Punjab katika Pakistan, majimbo ya Kihindi Jammu na Kashmir upande wa kaskazini, Himachal Pradesh upande wa kaskazini mashariki, eneo maalumu la Chandigarh upande wa mashariki, Haryana upande wa kusini na Rajasthan upande wa kusini magharibi.
Kashmir Kijiografia kiini cha "Kashmir" ni Bonde la Kashmir ambalo ni bonde kubwa la mto Jheam lenye rutba kati ya Himalaya ya Juu na milima ya Pir Panjal. Katika karne ya 19 bonde liliunganishwa na maeno jirani ya Jammu na Ladakh jumla 222,236 km² penye milima na chanzo cha mto Indus (Hindi). Eneo hili liligawiwa 1947.
Kashmir Maharaja Hari Singh wa Jammu na Kashmir alijaribu kutetea uhuru wa utemi wake bila kujiunga na upande wowote. Lakini Pakistan ilichochea upinzani ikadai ya kwamba eneo hili lenye Waislamu kiasi cha 70% ya wakazi ilipaswa kuwa sehemu ya Pakistan. Aliposhambuliwa na wanamigambo Waislamu waliosaidiwa na kungozwa na jeshi la Pakistan maharaja alitangaza kujiunga na shirikisho la Uhindi akaomba msaada wa kijeshi. Vita ilipiganiwa kati ya Oktoba 1947 hadi mwisho wa mwaka 1948. Tokeo lake lilikuwa mgawanyiko wa Kashmir kwenye mstari wa mapigano.