Top 10 similar words or synonyms for iwiji

kotte    0.899781

kafr    0.889699

supplement    0.889228

kiaekyom    0.886043

ideology    0.883648

kasiki    0.882110

conflicts    0.881493

yanayojumuisha    0.880998

larissa    0.878611

idem    0.877499

Top 30 analogous words or synonyms for iwiji

Article Example
Iwiji Kuna vijiji vya Iwiji, Isende, Masewe, Izumbwe II, Izyira na Inuka.
Iwiji Iwiji ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,056 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53213.
Iwiji Kijiji cha Izyira kimepewa hadhi ya kuwa kata inayojitegemea mwaka 2014 ikiwa imetokea baada ya kugawa kata ya Iwiji ambapo mwanzo kijiji hiki kilikuwa kipo kata ya Iwiji. Kijiji hiki kinapakana na kijiji Ibezya cha wilaya ya Ileje kusini mashariki, kusini kinapakana na Wilaya ya Mbozi vijiji vya Hezya na kijiji cha cha Namwangwa na kuendelea mpaka magharibi kijiji cha Haraka na Idiwili kaskazini kuna kijiji cha Iwiji na safu ya milima Mbeye na mlima Makungulu iliyoambatana na msitu Mang'onga na msitu Mbogho.
Iwiji Izyira hukaliwa na makabila matatu ya Wanyiha, Wandali na Wamalila. Kijiji hiki kuna mila na desturi zake kikiongozwa na mila za kijadi. Kiongozi akiitwa mwene wa ukoo wa Mwazembe. Kati ya Wakristo kuna hasa madhehebu yaliyo kwenye jumuiya ya CCT. Kijiji hiki kina shule tatu. Izyira ni shule mama iliyoanzaishwa mnamo miaka ya 1957 kwa mfumo wa shule za TAPA iliyoanza na mwalimu mzawa Winfred Mtindo Mwazembe baadaye zilianzishwa shule mbili kutokana na ongezeko la watu ambazo ni Mwenge na shule ya msingi Masewe. Pia wananchi katika mfumo wa kila kata kujenga shule ya sekondari kijiji kama kijiji walijenga shule ya sekondari ya kijiji kwa mpango wa kijitolea pamoja na kuwa na shule ya sekondari ya kata ambayo ipo makao ya kata pale Iwiji pia mwaka 2009 shule ya sekondari ilifunguliwa katika kijiji cha Izyira mwezi April 29 chini ya mkuu wa shule Godlove Ngonde
Iwiji Kijiji hiki kinahudumiwa na barabara kuu kutoka mbalizi ikipitia vijiji vifuatavyo mbalizi Izumbwe I, Mganjo, Isangati Santilya, Shipongo, Ilembo, Italazya, Shigamba, Izumbwe II. Iwiji barabara inagawanyika, kushoto inakwenda makao makuu ya Wilaya ya Ileje yaani Itumba na kulia barabara hii ndiyo inakwenda moja kwa moja Izyira hatimaye huendelea Wilaya ya Mbozi kupitia vijiji vya Hezya, ,Nyimbili, Ilengo, Shumba, Hasamba na kuungana tena na barabara kuu ya Dar es Salaam mpaka Zambia pale makao mkuu ya Wilaya ya Vwawa.