Top 10 similar words or synonyms for inayoruhusu

salfeti    0.874902

basila    0.854250

kizuia    0.842598

kirasmiki    0.842087

zidisha    0.841765

monoksidi    0.838454

trachea    0.838312

inayowekwa    0.837754

steatosisi    0.837544

glucose    0.836370

Top 30 analogous words or synonyms for inayoruhusu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Chusa Mara nyingi chusa imefungwa kwa kamba inayoruhusu mvuwi kuirudisha pamoja na windo.
Kuni Ni muhimu kuziweka kwa namna inayoruhusu upepo kupitia kwenye vipande vya kuni na kuzikausha vizuri; penye mvua nyingi sehemu za paa hutengenezwa kwa kuni lakini siku hizi vipande vikubwa vya plastiki vinatosha.
Bahari ya Hindi Kama kawaida, pale ambako mabamba yanaachana kuna nafasi inayoruhusu kupanda juu kwa joto na magma kutoka kiini cha dunia na kutokea kwa volkeno pamoja na safu za milima chini ya maji.
Takwimu Wanahisabati wengine katika Ulaya walivutwa na makadirio yake Graunt na wataalamu kama Blaise Pascal na Christiaan Huygens waliweka misingi ya nadharia ya welekeo inayoruhusu kupanga idadi kubwa ya data na kutoa tathmini kutoka hapa.
Msimbo pau Msimbo pau ni ruwaza ya kijiometri, kwa kawaida ni mistari iliyo wima, ambayo hutumiwa kukagua na kufuatilia mali au bidhaa. Ni njia ya kutaja namba inayoruhusu kusomewa kwa namba hizi kwa mashine.
Roboti Roboti za viwandani mara nyingi hufungwa ama mahali pamoja (na kazi inafikishwa kwao) au juu ya mfumo wa reli inayoruhusu kiasi cha mwendo katika nafasi iliyopangwa awali. Kwa kawaida huwa na mikonoinayoweza kushika kitu kinachofanyiwa kazi au zana zinazopelekwa pale ambako kazi kama kutambuza inatekelezwa.
Morogoro Vijijini Ni wilaya yenye utajiri mkubwa wa hali ya hewa inayoruhusu mazao yote kustawi: kwa mfano, yale ya joto hustawi maeneo ya bondeni, na ya baridi sehemu za milimani. Ni chanzo cha mito inayonywesha mikoa ya Dar-es-Salaam na Pwani. Lakini asilimia kubwa ya wakulima hulima bila faida: hubeba mizigo kwenda sokoni kwa umbali mrefu zaidi ya kilometa 25.
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Nyuklia Udhaifu mmojawapo wa IAEA ni katiba ya kwanza inayodai kibali cha nchi wanachama kwa uchunguzi wa hali ya vituo vya nyuklia katika nchi hizi. Kwa njia hii nchi kadhaa ziliweza kuficha jitihadi zao za kuunda silaha za kinyuklia. Kwa sababu hiyo kuna mapatano mapya inayoruhusu wachunguzi wa IAEA kuingia katika maabara na taasisi ziote zinazoshughulikia mambo ya nyuklia wakati wowote. Ila tu haya mapatano mapya yalikuwbaliwa na nchi 73 pekee hadi 2006.
Jiua Utetezi wa kujiua umetokea katika tamaduni nyingi na [[vijitamaduni]]. [[Jeshi la Japani]], katika Vita vya II vya Dunia, liliruhusu na kutukuza mashambulizi ya [[kamikaze]]. Haya yalikuwa mashambulizi ya kujiua yaliyotekelezwa na wanajeshi wanahewa wa Milki ya Japani dhidi ya vyombo vya majini vya Majeshi ya Muungano katika awamu za mwisho za uhamasisho wa Pasifikia wa Vita vya II vya Dunia. Jamii ya Japani kwa jumla imechukuliwa kama " inayoruhusu" kujiua (tazama [[Kujiua nchini Japan]]).
Zeruzeru Uwezo wa kujenga melanini mwilini hutawaliwa na jeni fulani. Kama jeni zote ianpatikana kwa jozi katika kromosomu za seli. Hali inatokea ya kwamba jeni moja katika jozi hii ni bovu. Tabia hii ni dhaifu, yaani jeni 1 nzima inatosha kuendelea na kutengeneza melanini. Lakini jeni zote mbili zinaingia katika urithi wa watoto wakati wa kuzaa. Mtu huzaliwa na ualbino, ni hali ya kurithiwa kama wazazi wote wawili wana jeni inayoruhusu ualbino. Hii inawezekana hata kama wazazi wote wawili hawaonyeshi dalili za ualbino wenyewe. Tabia hii inaendelea katika familia na inaweza kuonekana mara kwa mara au baada ya kizazi tu. Inategemea na kupatikana kwa jeni husika katika wazazi wote wawili.