Top 10 similar words or synonyms for inayodhibiti

hearing    0.884265

kisakata    0.880095

kikenyi    0.879925

cacao    0.877002

kimokole    0.876885

hypogaea    0.876749

commandments    0.876304

kimpuono    0.876301

kibemba    0.875118

komesha    0.874868

Top 30 analogous words or synonyms for inayodhibiti

Article Example
Dawa za mfadhaiko Sifa za kumaliza kemikali za mzio za dawamfadhaiko kadhaa za kategoria ya TCA na TeCA zimetambulika kuwa zinachangia na upande wa athari wa kuongezeka kwa hamu ya chakula na kuongeza uzito unaohusiana na kategoria hizi za madawa. Ulaji wa asusa za kabohaidreti zenye kiwango cha chini cha mafuta na protini na dhifa zenye kabohaidreti nyingi unaruhusu ubongo kuzalisha serotonini inayodhibiti hamu ya chakula na kusawazisha halihisi ya moyo. Kwa hivyo, kabohaidreti ikiliwa kama sehemu ya chakula bora, kwa mujibu wa athari zao kwa kiwango cha serotonini kwenye ubongo, zinaweza kusaidia kupoteza uzito katika muktadha wa kuongezeka uzito kutokana na dawamfadhaiko.
Ubongo Mifumo ya mwendo ni maeneo ya ubongo ambayo kwa njia moja au nyingine yanahusika moja kwa moja katika kuanzisha mienendo ya mwili, yaani, katika amilisha misuli. Isipokuwa misuli inayodhibiti macho, misuli yote inayofanya kihiarikatika mwili imeunganishwa moja kwa moja na neva za mwendo katika uti wa mgongo, ambayo ndiyo njia ya mwisho ya pamoja kwa mfumo wa kuzalisha uendaji. Neva za uti wa mgongo zinadhibitiwa na saketi za neva asili za uti wa mgongo, na kwa michango inayoteremka kutoka ubongoni. Sakati asili za uti wa mgongo hutekeleza majukumu mengi ya tendohiari na pia huwa na mifumo ya kuanzisha miendo kama vile kutembea au kuogelea. Miunganiko inayoshuka kutokana ubongoni hufanikisha udhibiti changamano zaidi .
Intaneti Ugumu wa miundombinu ya mawasiliano ya Intanet unahusisha vipengele vya vifaa vyake na sehemu za mfumo wa progamu inayodhibiti tabaka mbalimbali za usanifu. Ingawa vifaa vinaweza kutumika kusaidia mifumo mingine ya programu, ni urasimu na mifumo ya sheria za usanifu wa programu zinazoainisha Intanet na hutoa msingi wa ukubwa wake na mafanikio yake. Wajibu wa urasimu wa usanifu wa mifumo ya programu za Intanet umepewa tume ya uhandis wa Intanet (IETF). IETF huongoza makundi ya kuweka sheria, wazi kwa mtu yeyote, kuhusu masuala mbalimbali ya usanifu wa Intanet. Majadiliano yanayotokea na amri za mwisho huchapishwa katika mfululizo wa machapisho, iitwayo Kuomba kwa Maoni (RFC),ipatikanayo bure kwenye tovuti ya IETF . Mbinu muhimu za utengenezaji wa mitandao zinazowezesha Intanet ziko katika RFC teule yenye sheria za Intanet.
Mimba ya fumbatio Mara mtoto anapozaliwa udhibiti kondo huanza kutoa usaha au damu. Katika kujifungua kwa kawaida kujikaza kwa uterasi hutoa nguvu maalum inayodhibiti kupoteza damu hata hivyo, katika mimba ya fumbatio kondo iko juu ya tishu ambayo haiwezi kujikaza na jaribio la kuliondoa linaweza kusababisha kutokwa na damu nyingi. Kijumla, isipokuwa kondo inaweza kufungwa au kuondolewa kwa urahisi amefungwa, inaweza kuwa bora kuliacha lilipo kuliko kuliondoa hivyo kuruhusu mageuzi ya kawaida. Hatua hii inaweza kuchukua muda wa miezi minne na inaweza kufuatiliwa kwa kuangalia viwango vyaproteni ya korioni na viwango vya useleleaji. Matumizi ya methotrexate kuongeza kasi ya kumalizika kwa kondo una utata mkubwa kwa kuwa kiwango kikubwa cha kufa kwa tishu kunaweza kuunda sehemu ya kuambukizwa. Mishipa ya kondo pia imezibwana na angiografia na ugandanji damu mishipani.
Dawa za mfadhaiko Madawa ya dawamfadhaiko pia yanaweza kuzuia hisia za kimsingi za binadamu za upendo na mahaba. "Kuna sababu zinazofaa za kufikiri kuwa SSRI hupunguza uwezo wako wa kupenda na kubaki katika upendo," alisema Helen Fisher, mwana anthropolojia kutoka chuo kikuu cha Rutgers aliyeanzisha sayansi ya kisasa ya upendo. Dawamfadhaiko za SSRI hufanya kazi kwa kuongeza viwango vya mzunguko wa serotonini, nyurotransmita inayodhibiti halihisi ya moyo na pia inadhibiti tamaa. Madawa hayo pia hupunguza dopamini, nyurotransmita inayohusika katika michakato mbalimbali ya utambuzi na tabia, ikiwa ni pamoja na hamu na mwamsho. Utafiti mpya unaonyesha kuwa dopamini huenda pia ikawa na jukumu katika mahaba. Wakati wa kufanya mapenzi, mchanganyiko wa homoni hutolewa na unaonekana kuwa na majukumu muhimu katika kukuza uambatishaji wa kimapenzi ndani ya ubongo. Ukiondoa ngono, mapenzi ya kimahaba yanaweza kufifia. Lakini hii ni sehemu tu ya tatizo, anasema Fisher na mtaalamu wa saikolojia wa Chuo Kikuu cha Virginia James Thomson. Wakati wapenzi wanapopendana kwa dhati, kuonana tu kunasababisha kupanda kwa shughuli za ubongo zinazohusiana na dopamini. Wakiweza kuendelea kupendana, na hisia za awali ziweze kukua hadi ziwe mapenzi ya muda mrefu, kwa mvuto wa awali kukua hadi mapenzi ya muda mrefu, ruwaza za ubongo hubaki hai. Kupungua kwa viwango vya dopamini, hata hivyo, ni athari isiyoweza kuepukika ya SSRI. Ukipunguza dopamini, wanasema Fisher na Thomson, uwezekano wa upendo wenyewe ni utapunguka.
Upinzani wa kimaumbile kwa malaria Uchambuzi wa genome hela na uhusiano wa usahihi (GWA) ni njia ya nguvu kwa ajili ya kuchunguza urithi wa kinga dhidi ya maambukizi na magonjwa mengine. Uchambuzi mbili wa kujitotegemea wa uhusiano wa GWA na malaria kali ya falsiiparumu katika Waafrika umefanywa, moja na kundi la Malariagen katika idadi ya watu ya Gambia na wa pili na Rolf Horstmann (Taasisi ya udaktari wa eneo za tropkali ya Bernhard Nocht , Hamburg) na wenzake juu ya idadi ya watu ya Ghana . Katika hali zote mbili ishara tu ya uhusiano uliyofikia kwa kiwango muhimu genome pana ilikuwa na sehemu ya HBB iliyoandikisha mlolongo wa bwa homoglobilini, ambayo si ya kawaida katika HbS. Hii haimaanishi kwamba HbS ni jeni ya kipekee inayodhibitisha kinga ya kaisili ya malaria falsiparamu: kuna uwezekano wa jeni nyingi za aina hii jeni inayotia madhara ya nguvu zaidi ambayo huathiri jutambuzi na GWA kwa sababu ya kiwango cha chini cha uhusiano usiokuwa sawa miongoni mwa watu wa Afrika. Hata hivyo uhusiana sawa wa GWA katika makundi mawili ya watu ni ushahidi wa nguvu kwamba jeni moja inayodhibiti kinga asili dhidi ya malaria ya Falsiparamu amabayo huaunda HbS.