Top 10 similar words or synonyms for inalenga

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for inalenga

Article Example
Gharama Kwa kawaida bei ya kuuzia inalenga faida juu ya gharama za uzalishaji.
Pantokrator Pantokrator ni aina mojawapo ya michoro ya Yesu Kristo ambayo inalenga kumtangaza kuwa Mwenyezi Mungu.
France 24 France 24 inalenga kushindana na stesheni kama CNN International, BBC World News, Deutsche Welle, na Al Jazeera English.
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Inalenga kuboresha uzalishaji na ugawaji wa mazao na vyakula duniani kwa shabaha ya kuboresha hali ya malisho ya watu duniani.
Teknolojia ya nano Hivyo teknolojia ya nano inalenga kupanga atomi na molekuli moja kwa moja na pia nje ya hali jinsi zilivyoweza kupangwa hadi sasa.
Kenya Commercial Bank (Uganda) Kenya Commercial Bank (Uganda) (KCB), pia hujulikana kama KCB Uganda ni benki ya kibiashara nchini Uganda. Inalenga kutimiza mahitaji ya kibenki ya watu binafsi na makampuni.
Benki ya Dunia Benki (IBRD) inalenga kutoa mikopo kwa nchi zilizoendelea kiasi na pia nchi maskini zenye uwezo wa kulipia mikopo. Shirikisho la Maendeleo (IDA) inaangalia mahitaji ya nchi maskini kabisa.
Bangui Kuna viwanda mjini vya nguo, vyakula, bira, viatu na sabuni. Bishara ya nje inalenga wateja wa pamba, ubao, kahawa na katani.
Boko Haram Boko Haram ilianzishwa na Yusuf Mohamed mwaka 2002 na inalenga kuanzisha dola la Kiislamu katika Nigeria ambako sharia ni sheria ya pekee.
Dalmatia Uchumi unategemea hasa utalii: watalii kutoka pande nyingi za Ulaya wanakuja hapa kwa burudani kando ya bahari katika miezi pasipo baridi. Kati ya watalii milioni 10 - 11 wanaofika Kroatia kila mwaka idadi kubwa kabisa inalenga pwani ya Dalmatia.