Top 10 similar words or synonyms for huhudumia

mavanga    0.823677

kinyangbo    0.799926

kikakanda    0.799722

gezira    0.794048

bubanza    0.793947

zinazojumlisha    0.793185

yoshinori    0.792716

kiwumboko    0.791896

√©dith    0.790230

kigeugeu    0.789536

Top 30 analogous words or synonyms for huhudumia

Article Example
Hospitali ya Mafunzo na Marejereo ya Moi Kitengo hiki kina vitanda tano na huhudumia wote watoto na watu wazima.
Vilabu Vya Wahudumu ("Host and Hostess Clubs") Kuna magazeti kadhaa kwa mfano, "Men's Knuckle," ambayo huhudumia wahudumu, na mara nyingine pia waajiri na mashabiki wao.
Matatu Mara nyingi ni magari ya Kijapan yenye ruhsa ya kubeba abiria 14. Matatu huhudumia njia maalumu yenye namba yake. Dereva anafanya kazi yake pamoja na msaidizi wake anayeitwa "manamba" mwenye kazi ya kukusanya pesa na kufungua au kufunga mlango.
Kanisa la Moravian Jimbo la Jamaika Jimbo la Jamaika limegawiwa kwa mikoa 4 na kila mmoja husimamiwa na mchungaji mkuu wa mkoa (superintendent). Kila mkuu wa mkoa huketi pia kwenye kamati kuu ya jimbo yenye wajumbe 7 pamoja na walei 2 na mwenyekiti wa jimbo. Kwa jumla kuna wachungaji 38; 33 huhudumia Jamaika, 3 Kuba na 2 Cayman.
Mankato Free Press Wafanyikazi wa "The Free Press" huhudumia makata 6 - Blue Earth, Nicollet, Le Sueur, Brown, Waseca na Watonwan. Miji mikubwa ya Mankato, Mankato Kaskazini, Waseca, St Peter na Le Suerer ,pia, huwa maeneo ya usambazaji. Gazeti hilo linajisifu kwa makala na picha zilizotuzwa tuzo mbalimbali. Gazeti hili huchapisha habari za michezo na habari za Chuo Kikuu cha Minnesota na habari za Mankato. Gazeti hili huchapisha "Mankato magazine"(usambazaji wa nakala 10,000) na "The Land" (usambazaji wa nakala 35,000).
Elimu nchini Kenya Shule za binafsi nchini Kenya kwa ujumla huhudumia watu wa tabaka ya kati na ya juu. Nyingi ni ya mashirika ya kidini tofauti tofauti kama vile Oshwal Academy ambayo inamilikiwa na kusimamiwa na OERB (jamii ya Oshwal - Wakenya wenye asili ya kihindi wanaofuata dini ya Jainism); Katoliki (Saint Mary's School Nairobi), Wamisionari (Rift Valley Academy) na za Kiislamu (Aga Khan Academy). Mashirika haya kwa ujumla hufadhili shule hizo, na kwa kawaida hakuna upendeleo wa kidini au wa njia yoyote ile katika kuwachukua wanafunzi na uendeshaji wa shule.
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Kama jumba kubwa zaidi la mikutano la aina yake katika Afrika ya Mashariki, jumba hili limezungukwa na mawe ya kuzuia sauti, mbao asili na dari la kifahari. Jumba hili huhudumia mikutano mikubwa ya kimataifa, maonyesho na sherehe kubwa za kifahari, na lina uwezo wa watu 5,000. Liko na vifaa vya hali ya juu vya kurekodia na kupazia sauti, vibanda visivyotumia waya vya kutafsiria (hadi lugha saba) na maeneo ya kuangalilia. Dari zake za juu ziliwekwa kwa sababu ya mapambo mazuri, bendera za kukuza na nyenzo zingine za kukuza.