Top 10 similar words or synonyms for huaminika

unywaji    0.840685

chunusi    0.827516

zinaelekea    0.826574

unahusiana    0.817105

zinafaa    0.816861

imependekezwa    0.815805

huvunja    0.815153

inakisiwa    0.814889

hubadilishwa    0.812482

waweza    0.811112

Top 30 analogous words or synonyms for huaminika

Article Example
Utapiamlo Takriban theluthi moja ya vifo katika watoto huaminika kutokana na utapiamlo; hata hivyo, vifo havisemekani kutokana na hiyo.
Nungunungu Kwa kipindi kirefu nungu huaminika kuwa na uwezo wa kurusha miiba yao kwa adui, hii imekanushwa vikali, baada ya kufahamu kuwa miiba hulegea na kuanguka yenyewe.
Haubi Haubi pia ina maeneo mengi ya kuvutia kama sehemu za "Irumawii". Yaani sehemu ambapo mawe huvuma. Sehemu hii huaminika kwamba hukaliwa na mizimu, ambao huwalinda Warangi na huwapatia Warangi baraka zote.
Chungwa Chungwa, na hasa chungwa tamu, ni jamii ya matunda ya citrus, na huaminika kuwa yalikuzwa miongoni mwa enzi za pomelo na tangerine. Mti wake mdogo utoao maua hufikia urefu takribani mita kumi na majani yake yasiyokauka muda wote.
Jiua Hakuna [[Pathofisiolojia]] ya kujiua au mfadhaiko iliyo bayana, unganishi na ya kimsingi. Hata hivyo, kujiua huaminika kutokana na mwingilianao wa vipengele vya kimtindo, kimazingira na kijamii na magonjwa ya akili.
Twiga Twiga ni spishi nne katika familia ya Giraffidae pamoja na okapi. Familia hii hapo awali ilikuwa na wanyama wengi kiasi. Twiga huaminika kuwa walitokana na swala aliyekuwa na urefu wa futi 3 tu, mnamo miaka milioni 30–50 iliyopita.
Boga Mafuta ya mbegu za maboga huwa mekundu na mazito yanapotumika kupikia chakula kwa kawaida huchanganywa na mafuta mengine kwa sababu ya nguvu yake,yanatumika sana kupikia masahariki na kati mwa ulaya. Mafuta haya huaminika huwasaidia watu wenye matatizo ya tezi za uzazi, yaani "prostate". Mafuta haya pia huwa na kemikali zilizo saidia kuimarisha mishipa ya damu na mishipa ya fahamu.(neva)
Jiua Baadhi ya watu wanaweza kujiua ili kuepuka ukatili au ubaguzi. Historia ya dhuluma za kimapenzi dhidi ya watoto u na muda aliokaa mtu kwenye utunzaji wa walezi pia huwa vipengele vya hatari. Dhuluma za kimapenzi huaminika kuchangia hadi takriban 20% ya hatari ya kijumla.
Mnyanya Watu wa Acret na wengine wanaanza kutumia nyanya kwenye mapishi yao, wakti huo ikilimwa huko Peru, mnamo mwaka 500KK. Baadaye nyanya zilizobadilika na kuwa laini, kubwa kutoka kwenye mboga laini, na kuanza kushamiri huko Amerika ya Mwanzo. Huaminika hii ndiyo asili ya nyanya tunazotumia sasa.
Bangi Bangi huhusishwa na Bwana Shiva, kwani mmea wa Hampa hujulikana kama mtakatifu kwa Wahindu wa Kaskazini mwa India. Kuna hata imani kwamba kukutana na mtu aliyebeba bangi ni ishara mbaya ya kufanikiwa. Na kama hamu ya mmea wa hampa kunaashiria furaha, kuuona katika ndoto kunahakikisha mafanikio kwa mtu katika siku zijazo. Pia, kutembea juu ya jani takatifu la bangi huaminika kuashiria mabaya.