Top 10 similar words or synonyms for hirola

morio    0.960164

inca    0.956812

roseate    0.955915

angustifolia    0.955823

nuchalis    0.955630

auritus    0.955501

kitenduli    0.955191

ringed    0.955128

falcinellus    0.955092

korhaan    0.954677

Top 30 analogous words or synonyms for hirola

Article Example
Nyamera (jenasi) Nyamera ni wanyamapori wakubwa wa jenasi "Beatragus" na "Damaliscus" katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi "D. korrigum topi", lakini siku hizi spishi na nususpishi zote huitwa nyamera mara nyingi. Majina mengine ni hirola, jimela, sasabi na tiang. Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni ya mchanga inayoelekea nyekundu au kijivu mara nyingi. Wana mabaka meusi mwilini, miguuni na kichwani, isipokuwa hirola, na nyamera baka-nyeupe ana baka nyeupe kwa pua na paji. Kichwa chao ni kirefu kama kile cha kongoni lakini pembe zao hazina umbo wa zeze. Wanyama hawa hula manyasi.
Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori ya Kenya KWS inaendesha mipango maalum kusaidia viumbe na makazi ya Kenya ambayo yako kwenye hatari hasa. Wana mipango ya uhifadhi wa sehemu za chemchemi na misitu,na miradi maalum ya tembo na kifaru kusaidia kuwaokoa kutoka kwa wawindaji. Hirola, ambayo iko katika hatari ya kupotea, pia inafuatiliwa.
Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki Sehemu kubwa ya "Tsavo Mashariki" kwa ujumla ni tambarare kavu ambapo mto Galana hutiririka. Baadhi ya vitu vingine muhimu kataka mbuga hii ni Bie ya Yatta na mtiririko wa maji wa Lugards. Baadhi ya wanyamapori katika mbuga hii ya Tsavo Mashariki ni kama vile vifaru weusi na kongoni aina ya hirola.
Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Mashariki Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo Mashariki ni mojawapo wa hifadhi za wanyama kubwa zaidi duniani, kwani hutoa makazi ya jangwani ambayo hayajaendelea kwa idadi kubwa ya wanyama. Orodha pana ya aina za wanyama ambao hupatikana katika Mguga hii ya Tsavo Mashariki inajumuisha fisi mdogo, nyani mashariki, popo, mbogo, komba, pongo, simbamangu, kimburu, duma, ngawa, digidigi, mbwa-mwitu wa Afrika, panya-miti, chesi, nsya, funo, pofu, tembo wa Afrika, mbweha, komba mkubwa, kinokera au swala, kanu madoa-makubwa kusi, kanu madoa-madogo, swala twiga, twiga, sungura wa Afrika, kamendegere, kongoni, hirola, kalunguyeye tumbo-jeupe, fisi madoa, fisi milia, perere kusi, pimbi mkubwa, swala pala, mbweha mweusi, mbweha milia, ngurunguru, tandala mdogo, chui, simba, nguchiro miraba, nguchiro mdogo, karasa, nguchiro-bwawa, nguchiro mkia-mweupe, tumbili, fisi-maji, kakakuona, nyegere, nungu wa Afrika, ndezi, buku, kifaru mweusi, kidiri, suni, gwasi, ndogoro na punda milia.