Top 10 similar words or synonyms for heteropogon

contortus    0.968724

annuum    0.928173

canavalia    0.926442

mabivu    0.923858

mealybug    0.918967

mkiwi    0.915539

cucumis    0.914221

petersi    0.908351

sclerocarya    0.907874

carica    0.907518

Top 30 analogous words or synonyms for heteropogon

Article Example
Kichoma-mguu Kichoma-mguu, kichoma-nguo au kishona-nguo ("Heteropogon contortus") ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Lakini majina haya hutumika vilevile kueleza mmea mwingine: "Bidens pilosa", gugu baya shambani. "H. contortus" inatokea kanda za tropiki za Afrika, Asia ya Kusini, kaskazini kwa Australia na Oceania. Imesamba katika kanda za tropiki na nusutropiki za Asia ya Mashariki na imewasilishwa pia katika Amerika. Nyasi hili hukua katika vishungi na linaweza kufika m 1.5. Mbegu ina unywele mrefu upande mmoja na ncha kali upande mwingine. Unywele huwa songosongo ukiwa mkavu na mnyofu ukiwa umefyonza maji. Mizunguko ya ukavu na unyevu inayorudiwa inasukuma mbegu ndani ya udongo. Lakini kama mbegu ikiingia kwenye manyoya ya mnyama, inaweza kusukumwa katika ngozi na kuuma mnyama.