Top 10 similar words or synonyms for henriksen

carrie    0.915234

kimberly    0.915219

tyra    0.914838

audrey    0.910917

lance    0.910526

vaughn    0.910028

flute    0.909949

kieran    0.909256

bellick    0.908802

edie    0.907221

Top 30 analogous words or synonyms for henriksen

Article Example
Lance Henriksen Kazi ya kwanza ya Henriksen ilikuwa kwenye tamthilia na alifanya kazi kama mwandalizi wa eneo la igizo; kwa kweli, alipokea uhusika wake kwa sababu alitengeneza seti nzima ya maandalizi. Mwanzoni mwa miaka yake ya 30, Henriksen alihitimu elimu yake ya uigizaji katika chuo cha Actors Studio na kuanza kuigiza huko mjini New York City. Katika filamu, ameanza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya "It Ain't Easy" mnamo mwaka wa 1972. Henriksen akaenda kucheza katika nyusika mbalimbali na filamu pia. Nyusika hizo ni pamoja na kucheza kwenye filamu ya Steven Spielberg "Close Encounters of the Third Kind" (1977) na "Damien: Omen II" (1978). Pia amewahi kucheza kama mwanaanga Walter Schirra kwenye filamu ya "The Right Stuff" (1983) na mwigizaji Charles Bronson kwenye filamu ya TV mnamo 1991 - "Reason for Living: The Jill Ireland Story".
Lance Henriksen Lance James Henriksen (amezaliwa tar. 5 Mei 1940) ni mwigizaji wa filamu, msanii, anayefahamika zaidi na wapenzi wa TV kwa uhusika wake kwenye filamu za uzushi wa kisayansi, aksheni na za kutisha kama vile "The Terminator", na "Alien", na kwenye kipindi cha TV kama vile "Millennium".
Lance Henriksen Wakati James Cameron anatunga filamu ya "The Terminator" (1984), alipanga hasa uhusika wa Terminator uchezwe na Henriksen. Cameron alikwenda mpaka akachora picha ya Terminator kwa kutumia sura ya Henriksen. Bila kujali, uhusika hatimaye ukaenda kwa Arnold Schwarzenegger. Henriksen ameonekana kwenye filamu, alicheza kwenye uhusika mdogo wa Detective Hal Vukovich. Henriksen huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama roboti mwenye mwonekano wa binadamu, Bishop, kwenye filamu ya "Aliens" (1986, filamu nyingine ya Cameron) na "Alien 3" (1992). Baadaye kaja kucheza kama Charles Bishop Weyland, mwonekano wa mtu uliotokana na Bishop wa awali, katika "Alien vs. Predator" (2004).
Lance Henriksen Henriksen alizaliwa mjini Manhattan, New York City katika familia ya watu maskini kabisa. Baba yake alikuwa baharia wa Kinorwei na mwanamasumbwi aliyeitwa jina la utani la "Icewater" ambaye alitumia nusu ya maisha yake akiwa baharini tu. Mama'ke Henriksen alihaha kutafuta kazi akiwa kama mwelekezi wa wanengeaji, mhudumu, na mwanamitindo. Wazazi wake walitalikiana akiwa na umri wa miaka miwili na alilelewa na mama'ke. Kadiri akuanvyo, Henriksen amejikuta akiingia katika matata mbalimbali wakatu yungali shuleni na kuthubu hata kuchungulia majumbani kwa watoto wenzi wake. Henriksen aliondoka nyumbani na kuachilia mbali shule akiwa na umri wa miaka kumi na miwili; hakujifunza kusoma mpaka alivyofikisha umri wa miaka 30, pale alipojiunza mwenyewe namna ya kusoma miswaada andishi ya filamu. Ametumia ujana wake mwingi akiwa kama mtoto wa mtaani huko mjini New York. Kutembea na matreni ya mzigo nchi nzima, pia aliwekwa jela kwa makosa madogo kama vile ya uzururaji. Kilikuwa kipindi chake cha bahati kukutana na marafiki zake wa zamani Bw. James Cameron na Bruce Kenselaar.
Alien vs. Predator Filamu ipo kwenye seti ya mwaka wa 2004, filamu inafuatia kikosi cha wanaakiolojia waliokusanywa na bilionea Charles Bishop Weyland (Lance Henriksen) kwa ajili ya safari ya uchungizi karibu kidogo na bara Antarctic - kuchungua dariri za joto la ajabu linalotoka huko. Weyland ana-matumaini ya kuchunguza kwa ajili yake mwenyewe, na kundi lake likagundua kwamba kuna piramid chini ya uso wa kituo cha nyangumi. Picha inayoonesha maandiko ya Wamisri ya kale na masanamu yanayonesha kwamba kule ni uwanja wa mawindo ya Mapredator ambao wanaua Maalien ikiwa kama mapambano ya kimira. Binadamu wamewekwa mtu kati wakati wa mapambano ya spishi mbili tofauti zinazojaribu kuzuia uwepo wa Maalien wasifike kwenye kilele cha uso wa dunia.