Top 10 similar words or synonyms for hatuwezi

siwezi    0.856588

kukwepa    0.853117

haiwezekani    0.844968

hawezi    0.843552

kwako    0.841089

raha    0.839848

kuvumilia    0.834930

anahitaji    0.834006

rohoni    0.832891

tunapaswa    0.830997

Top 30 analogous words or synonyms for hatuwezi

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Jumapili ya matawi 19 Basi, Mafarisayo wakaambiana, "Mnaona? Hatuwezi kufanya chochote! Tazameni, ulimwengu wote unamfuata."
Historia ya Utawa Hatuwezi kuelewa utawa tukidhani ni kitu kimoja: jina hilo linajumlisha maisha tofautitofauti.
Kamiti Tofauti iliyoko hawa hatuwezi tukasema waliteswa bali hata kifungo walichopewa hakikulingana na hatia walizoshtakiwa.
Njia nyeupe Nyota zilizo nyingi za Njia Nyeupe hatuwezi kuziona wala kuzibainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama ukungu mweupe tu.
Maradhi ya zinaa Katika matokeo hayo pia tunaona kwamba uzinifu unamdhuru binadamu: hatuwezi kuchezea utakatifu wa uhai tusipate hasara katika roho, katika jamii na pengine hata katika mwili.
Fransisko wa Asizi Kati ya mateso yaliyomuathiri hatuwezi kusahau yale ya mwili. Wote wanashuhudia kwamba tangu ujana wake alikuwa dhaifu, lakini baada ya kuongoka akatesa mwili wake kiasi cha kulazimika baadaye auombe umsamehe. Halafu alipokwenda ng’ambo ya bahari alipatwa na maradhi mawili ya kudumu, malaria (ambayo haikuwa na tiba wakati huo) na trakoma (inayosababisha upofu wa hatua kwa hatua).
Ukoloni Mamboleo Park Yong-soo wa Korea ya Kusini alisisitiza kuwa "taifa halizalishi tone moja ya mafuta yasiyosafishwa na viwanda vingine muhimu madini. Kwa nguvu ya ukuaji wa uchumi na kusaidia maisha ya watu, hatuwezi kusisitiza mno kiasi kwamba kupata rasilimali asili katika nchi za nje ni lazima kwa maisha yetu ya baadaye.
Wapare Wapare pia wamekuwa wakihusishwa na imani za uchawi na ushirikina kama ilivyo kwa makabila mengine Tanzania, lakini suala hili ni la mtu binafsi zaidi na si la jamii fulani peke yake kwa sababu ni imani ambazo zipo kote Tanzania na hatuwezi kunyooshea kidole eneo fulani.
Mwezi mpevu Mwezi una umbo la tufe na kila wakati tunaangalia upande wake uleule. Mwezi mwenyewe unazunguka Dunia yetu wakati unazunguka pia mwenyewe na muda wa mizunguko hii miwili ni sawa hivyo tunaona muda wote upande uleule. Kwa hiyo inawezekana kuongea juu ya upande wa mbele na upande wa nyuma wa Mwezi. Upande wa nyuma hatuwezi kuona kamwe kutoka Dunia.
Vipaji vya Roho Mtakatifu Sisi tunatumia vipaji kwa mfano wa utiifu, ili kupokea na kutekeleza vizuri agizo kutoka juu, lakini hatuwezi kuwa na uvuvio huo kila tunapotaka. Upande huo vipaji vinatufanya tusitende wenyewe, bali kwa Roho Mtakatifu. Hivyo ni wazi kuwa vipaji, kama vile utiifu, ni misimamo ya kudumu ya mwadilifu.