Top 10 similar words or synonyms for hardini

kassab    0.878191

ghazali    0.872093

walid    0.870857

swaalih    0.863629

bashir    0.859572

kabir    0.858328

hakim    0.856701

hudaydah    0.853515

nahyan    0.853363

bayda    0.847200

Top 30 analogous words or synonyms for hardini

Article Example
Nimattullah Kassab Al-Hardini Kwake mwenyewe alikuwa mkali, lakini kwa wengine alikuwa kielelezo cha subira na uvumilivu, kiasi kwamba alishutumiwa kuwa mpole mno. Yeye alikubali hata hilo kama sehemu ya toba ya kimonaki.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Nimattulah Kassab anasadikiwa kutabiri mambo na kutenda miujiza mingi enzi ya uhai wake kutokana na maadili yake ya hali ya juu.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Kesi ya kumtangaza mtakatifu ilianza rasmi tarehe 7 Septemba 1978. Hatimaye Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 10 Mei 1998 na mtakatifu tarehe 16 Mei 2004.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Nimatullah Kassab Al-Hardini, O.L.M., (1808 - 14 Desemba 1858) alikuwa mmonaki padri na msomi wa Kanisa la Wamaroni nchini Lebanoni.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Nimatullah alichaguliwa na abati kujifunza kujaladia vitabu. Hata hivyo alitumia muda mwingi katika sala, akikesha pengine usiku karibu na ekaristi.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Nimatullah alitumia maisha yake yote kusali na kuhudumia shirika. Sehemu kubwa ya miaka 1845-1858 alikuwa katika halmashauri kuu, na kufikia cheo cha Makamu wa Abati mkuu kwa kuteuliwa na Ukulu mtakatifu, huko akiendelea na majukumu yake seminarini. Hata hivyo alikataa kuwa Abati mkuu.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Alipomaliza masomo yake mwaka 1822, alijiunga na monasteri ya Mt. Antoni huko Qozhaya, akianza unovisi mnamo Novemba 1828 kwa jina la Nimatullah.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Aliweka nadhiri zake tarehe 14 Novemba 1830, akatumwa kwenye monasteri ya Watakatifu Sipriani na Justina huko Kfifan, wilaya ya Batroun, ili aendelee na masomo kwa ajili ya Upadrisho, aliopewa sikukuu ya Noeli 1833.
Nimattullah Kassab Al-Hardini Jina lake la awali lilikuwa Youssef Kassab, mtoto mmojawapo kati ya saba wa Joji Kassab na Mariam Raad, binti wa padri ya Kimaroni. Alizaliwa mwaka 1808 katika kijiji cha Hardine, kaskazini mwa Lebanoni