Top 10 similar words or synonyms for habakuki

yoeli    0.944499

obadia    0.935025

nahumu    0.928767

sefania    0.925964

yona    0.911112

esta    0.902016

severin    0.898571

doré    0.896037

giovane    0.894493

yudith    0.894461

Top 30 analogous words or synonyms for habakuki

Article Example
Kitabu cha Habakuki Wakati alipofanya kazi nabii Yeremia aliishi pia Habakuki (600 hivi K.K.), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza Mungu kwa nini anaadhibu Israeli vikali kwa mikono ya watu wabaya kuliko wao.
Kitabu cha Habakuki Jibu ni kwamba Mungu ana njia zake ambazo anaandaa ushindi wa haki: hivyo mwadilifu ataishi kwa imani yake (1:12-2:4). Usemi huo ukaja kutumika sana katika Agano Jipya. Mtume Paulo ameufanya msingi wa msimamo wake kuwa wokovu unapatikana kwa imani, si kwa kujitahidi kutekeleza masharti yote ya Torati.
Kitabu cha Habakuki Habakuki ni jina la nabii wa Israeli ya Kale na pia la kitabu kinacholeta habari zake katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania), na kwa hiyo pia katika Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.
Kitabu cha Habakuki Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Kitabu cha Nahumu Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha nabii Mika na kile cha Habakuki.