Top 10 similar words or synonyms for guzman

dominiko    0.921461

magdalena    0.906727

vinsenti    0.900687

elia    0.900235

alfonso    0.886253

bernardo    0.885599

ignas    0.885122

yoana    0.884946

loyola    0.879015

bonaventura    0.878478

Top 30 analogous words or synonyms for guzman

Article Example
Dominiko wa Guzman Dominiko wa Guzman alikuwa mkanoni wa jimbo la Burgo de Osma-Ciudad de Osma: mwaka 1203 aliongozana na askofu wake Diego wa Acevedo katika safari ya kibalozi kwa niaba ya mfalme Alfonso VIII wa Castilia kwa mfalme Valdemaro II wa Denmark. Wakati wa kurudi, wakipitia mkoa wa Langadoque (Ufaransa Kusini), waling'amua uzushi wa Wakatari ulivyoenea naye akaamua kuungana na mabalozi wa Papa Inosenti III katika jitihada za kurudisha watu hao katika Kanisa Katoliki.
Dominiko wa Guzman Akatangazwa mtakatifu tarehe 2 Julai 1234
Dominiko wa Guzman Akikusanya kundi dogo la wasichana walioacha Ukatari, maka 1207 alianzisha huko Notre-Dame-de-Prouille, karibu Fanjeaux, monasteri ya kike ambayo ikawa kitovu cha kazi yake ya kitume.
Dominiko wa Guzman Baada ya hapo Shirika la Ndugu Wahubiri lilienea kati Ulaya nzima, hasa katika miji ambapo vilikuwa vinaanza vyuo vikuu, kama vile vya Bologna na Paris, vilivyosaidiwa sana na Wadominiko kupata ustawi.
Dominiko wa Guzman Kwa msaada wa askofu wa Tolosa Folco, mwaka 1215 alikusanya wenzi kadhaa wenye nya ya kuhubiri kama yeye akawaingiza katika maisha ya kitawa: shirika hilo lilipata kwanza kibali fulani cha Papa Inosenti III halafu kibali rasmi cha mwandamizi wake, Papa Onori III, tarehe 22 Desemba 1216.