Top 10 similar words or synonyms for groote

chhatrapati    0.891674

bangalore    0.880118

uttar    0.879322

nagpur    0.877956

chennai    0.875637

kanpur    0.871563

coimbatore    0.869643

jodhpur    0.867840

bellville    0.862122

madhya    0.857159

Top 30 analogous words or synonyms for groote

Article Example
Groote Laagte Groote Laagte ni kijiji katika Ghanzi, Wilaya ya Ghanzi huko nchini Botswana. Idadi ya wakazi wa kijijini hapa ilikuwa 849 kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka wa 2011.
Christiaan Barnard Tar. 3 Desemba 1967 katika hospitali ya Groote Schuur mjini Cape Town Christiaan Barnard alikuwa daktari kiongozi katika upasuaji uliofaulu mara ya kwanza kuhamisha moyo kutoka kwa mtu kwenda mtu mwingine. Jumla ya madaktari 31 walishirikiana kumpatia mgonjwa Louis Washkansky mwenye miaka 54 moyo wa kijana Denise Darvall aliyewahi kufa siku ileile hospitalini kutokana na ajali ya motokaa akiwa na umri wa miaka 25.
Kianindilyakwa Kianindilyakwa (au Kienindhilyagwa) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Waanindilyakwa kwenye kisiwa cha Groote Eylandt katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kianindilyakwa ilihesabiwa kuwa watu 1290. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianindilyakwa kiko katika kundi la Kiarnhem cha Mashariki.
Chuo Kikuu cha Cape Town Kitivo cha Sayansi ya Afya kiko katika kampasi ya Shule ya Udaktari karibu na Hospitali ya Groote Schuur katika Observatory. Idara za Sanaa bora na Kuigiza ziko kwenye kampasi ya Hiddingh katikati mwa Cape Town. Jengo la kwanza la Chuo hiki, sasa linalojulikana kama "Egyptian Building" , katika kampasi ya Hiddingh, lilijengwa katika mtindo wa Ufufuo wa Misri. Kampasi nyingine iliyojengwa kwa mtindo huu ilikuwa Medical College of Virginia katika Richmond, Virginia, Marekani. UCT Graduate School of Business iko katika kampasi ya Breakwater katika Victoria & Alfred Waterfront.
Chuo Kikuu cha Cape Town UCT ilihamia kampasi ya Groote Schuur Estate mwaka wa 1928. Wakati wa mfumo wa kibaguzi, miaka ya 1960-1990, UCT iliendelea kupinga ubaguzi wa rangi, na ilikuwa kiongozi katika ukombozi na uwiano wa kirangi. Mwaka wa 1987 hasa ulikuwa na mapigano ya mara kwa mara kati ya wanafunzi walioandamana na polisi, na taarifa za polisi kuwepo katika kampasi kudhibitiwa na serikali. Tarehe 24 Aprili 1987 polisi waliingia kampasi na hii ilikuwa mara ya kwanza tangu mwaka wa 1972 kwa huduma ya polisi ya Afrika Kusini kuwahi kusitisha maandamano katika chuo kikuu cha wazungu. Mara nyingi, waandishi wa habari na wahariri wa gazeti rasmi la wanafunzi, Varsity, walijipata chini ya upekuzi kutoka kwa serikali ya kibaguzi ya chama tawala cha National Party.