Top 10 similar words or synonyms for gichugu

githunguri    0.956444

mudhihir    0.954892

kigumo    0.950383

najib    0.949612

kayanza    0.945268

kimaro    0.941945

hamm    0.941789

rosalyn    0.941028

bai    0.940068

fafi    0.939858

Top 30 analogous words or synonyms for gichugu

Article Example
Eneo Bunge la Gichugu Eneo Bunge la Gichugu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge manne katika Wilaya ya Kirinyaga, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988. Baina ya uchaguzi wa miaka za 1966 ahadi 1983 ,lilijulikana kama Eneo Bunge la Kirinyaga East .
Martha Karua Martha Wangari Karua (alizaliwa mnamo 22 Septemba 1957) ni mwanasiasa wa Kenya. Yeye ni Mbunge wa bunge la Gichugu na Mtetezi wa Mahakama Kuu ya Kenya. Alikuwa Waziri wa Sheria hadi alipojiuzulu kutoka nafasi hiyo mwezi Aprili 2009.
Martha Karua Martha Karua alijiunga na chama cha Kenneth Matiba cha Ford-Asili lakini alipoteza tiketi ya uteuzi kwa tajiri na mshawishi Mkuu wa zamani wa Utumishi wa Umma Geoffrey Kareithi. Kisha alipewa tiketi na aliungwa mkono na wazee wa Democratic Party of Kenya (DP) ambao walitaka kuvunjwa kwa upinzani wa Kareithi - Nahashon Njuno. Karua alishinda uchaguzi mkuu wa mwaka wa 1992 na akawa Mbunge wa Gichugu na mwanamke wa kwanza mwanasheria kuchaguliwa kimaarufu kwa Bunge. Pia aliteuliwa kama katibu wa chama wa masuala ya kisheria kati ya mwaka wa 1992 na 1997.